Unakijua Chama Cha KADIMA?

Kadima na Likud ni vyama vya taifa la Israel, hivyo si ajabu mtangazaji ku kukosea na kufananinsha moja ya chama kikubwa kama Kadima

Kwi kwi kwi kwi teh teh teh. You've got a point, mtangazaji aliiona hii picha kabla ya mahojiano:


 
 
Kwi kwi kwi kwi teh teh teh. You've got a point, mtangazaji aliiona hii picha kabla ya mahojiano:



FaizaFoxy,

Unanivunja mbavu.

Kwenye hii Picha Josephine alikuwa kachujuka mno! Kweli Marekani Marekani tu, siku mbili tu Josephine kaanza kutakata!
 
Wote wamekosea lakini mtangazaji amekuwa na ujasiri wa kumrekebisha Slaa wakati Slaa amekuwa akitetemeka huku jina la chama chake likifinyangwa...

sasa kwa nn akasirike wakati wote wamekosea
 
It is a slip in the tongue..sometimes in the big media presenters find difficult for them to pronounce correctly the foreign terms mfano consonant zikiongozana kama Gbagbo ,Kikwete nk Pls muombe foreigner atamke jina la Le Presidaa Jk uone moto

Kwa siku ya leo tu Slaa amedanganya mara nne in public!
 
Mleta maada unapumulia Machine hasa baada ya kuona Ziara ya Dr.Slaa imekuwa Gumzo kwa Magambazi. Nadhani mnatamani kumwambia JK awasiliani na Obama amuulize Obama kuwa pamoja na kukusainisha Mikataba 5 ya siri lakini bado mmemruhusu Dr.Slaa kufanya Ziara Marekani???????? Magamba hoyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii???????
 
Mleta maada unapumulia Machine hasa baada ya kuona Ziara ya Dr.Slaa imekuwa Gumzo kwa Magambazi. Nadhani mnatamani kumwambia JK awasiliane na Obama amuulize Obama kuwa pamoja na kukusainisha Mikataba 5 ya siri lakini bado mmemruhusu Dr.Slaa kufanya Ziara Marekani???????? Na Mtaujenga hoja ina maana chama cha Obama ni rafiki na CDM maana nyie mnaakili fupi sana hamchelewi kujenga hoja mfilisi kama hizo. Magamba hoyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii???????
 
Obama anai-support CDM, makopo kwanini tusiisusie Marekani na Obama tujiunge na Mchina jamani
 
 

hahaha wazeee wa Buku 7 bana
 
Vipi alikumbuka kusema nimekula hela za rambi rambi ya Mwangosi?
 
Hatufaii huyu Mzee anatakiwa aiongoze familia yake tu.
Nalog off
 
Kwamba CHADEMA haina majority kwa kambi ya Upinzani Bungeni?Hivi kumbe kiingereza ni tatizo kubwa hivi?

Ben ndugu, kiinglishi ni janga la kitaifa hasa pale Lumumba.
Ukimtoa Mzee mchonga na nchinga Ben, hatujawahi kupata rais anayejua kiufasaha hii ligha ya Malikia. Nadhani rais mwingine atakayefuata baada ya huyu tuliyenaye atakakayekuwa anajua sawa sawa hii lugha ni Dr. W.P.S
 
ZeMarcopolo you are becoming an object of ridicule now.
- Mwiza Munthali is a Malawian
-Dr. Slaa said the 3 opposition parties together make a majority
-Dr. Slaa never said CCM has good policies
-The presenter is snobbish! He can say Chama but he can't say CHADEMA
 
Bwana mkubwa, ulisomea kiingereza kwenye shule za kata? Kuna kitu kinaitwa 'sounds of English'.CHADEMA inatamkika kwa kiingereza ʃːʌdimʌ.
 
]
-Dr. Slaa said the 3 opposition parties together make a majority

Je, unakubaliana na kauli hiyo kwamba vyama vya upinzani together make a majority? Kwenye nini? Bungeni hawana majority, kwenye mabaraza ya madiwani hawana majority. Hiyo majority anayosema Slaa iko wapi?

Huu ni uongo.

Kwa siku ya jana tu Slaa amedanganya hadharani mara nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…