Unakielewa kipindi hiki startv?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,857
Kipindi cha KIPAZA SAUTI,,kina title nzuri,ila sijawahi kumwelewa mtangazaji anachokusudia,anyway,labda ni uvivu wangu wa kutafakari,ila kuna maswali huwa anauliza,hata hayaendani na mazingira,au wenzangu mnakielewaje kipindi hicho?
 
Back
Top Bottom