Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
afu biashara ya manyoya inalipa sana sasa hivi.
Tuna export kwenda Japan na serikali inafanya mchakato wa kukodi basi la kusafirishia.
Tuna export kwenda Japan na serikali inafanya mchakato wa kukodi basi la kusafirishia.
Na hasa Mkazane sanasana hapo kwenye Ng'ombe wa Mayai , na Kuku wa Maziwa. Mambo ya kilimo kwanza hayo ! Hata mie niko serious na haya maneno, staki mchezo hata kidogo.