Unajuaje kama ni male au female? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unajuaje kama ni male au female?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mambo, Mar 8, 2012.

 1. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,377
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Nilitaka kufahamishwa na wanajamvi wenzagu,je utajuaje huyu member ni me au ke?
  Sidhani kama niko sahihi lakini hahisi kimojawapo ni upangiliaji wa maneno kwenye comment.
  Siamini kabisa kuwa member mwenye jina la jesca kuwa ni lazima awe mwanamke and viservesa.
  Hayo ni maoni yangu hebu nipe tips zako
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ukiweza kujua jinsia ya KONGOSHO basi wengine hawatakupa tabu...
   
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Bagah......waweza kujua mie ni jinsia gani??
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Kongosho anaweza kureply kama male na anaweza kujifanya kama female.............big kongosho we mjanja sana
   
 5. Wonder Woman

  Wonder Woman Senior Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waulize tu, kama mtu hasumbuliwi na swali lako atakupa jibu.
  Binafsi mi ni mwanamke.
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  naweza...tatizo hata nikipata unao uwezo wa kukanusha...!
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Jamani mi nitakuuliza
   
 8. Wonder Woman

  Wonder Woman Senior Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jibu nimesha toa huna haja ya kuuliza.:poa
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  basi tutaongea zaidi PM,au huko nako unakataza
   
 10. Wonder Woman

  Wonder Woman Senior Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Depends tunaongea nini.? Karibu
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  tutaongea jinsi ya kulima vitunguu saumu na kilimo cha katani.
   
 12. Wonder Woman

  Wonder Woman Senior Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ningependekeza pia ufugaji wa ngombe wa kisasa na wa kienyeji. (Dairy farming)

  unapenda maziwa?
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  BAGAH ! Si upunguze vionjo vya lugha bwana, kakakwambia guess her gendar, umeanza politic ! Ooo! Imeenda ikarudi !
  We funguka fasta!
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Na hasa Mkazane sanasana hapo kwenye Ng'ombe wa Mayai , na Kuku wa Maziwa. Mambo ya kilimo kwanza hayo ! Hata mie niko serious na haya maneno, staki mchezo hata kidogo.
   
 15. Wonder Woman

  Wonder Woman Senior Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hutaki mchezo na ng'ombe wa mayai , kuku wa mazawi ??
   
 16. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,377
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Mbavu zangu mie jamani.mkuu nimecheeka hapa mfululizo mpaka kila mtu akkashtuka.jf oyeeeeeeeeeeeee
   
 17. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,377
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ni me plus ke ?oh omg
   
 18. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,377
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Ahsante wonder woman ,nilitaka tu tuchemshe bongo wanajf kufikiria ni kitu gani kinakufanya ujue huyu ni mwanamke?ndio nikasema may be comments Zake?labda wewe unafikiria nn?
   
 19. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,377
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Mkuu nitajaribu kufuatilia comments zake then nitajaribu kuguess
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  na utengenezaji wa soseji
  ili kupata soko zaidi la ng'ombe hao.

   
Loading...