Tetesi: Unajua wizi wa pikipiki hupakiwa Ubungo na Jangwani?

mwisho2016

JF-Expert Member
Jun 27, 2016
724
625
Habari wana JF...

Kuna habari chini kwa chini nami naona nitoe hapa kama heading inavyojielezea. Wizi mkubwa unaotekelezwa na majambazi jijini Dsm kupora pikipiki za miguu miwili maarufu kama bodaboda, husafirsishwa/kupakiwa kwenye malori na mabasi yaendayo mikoani usiku wa manane Ubungo Bus Terminal na mchana kweupeee pe katika eneo la Jagwani Jijini, eneo zinapopaki fuso.

Wezi wengi hupeleka mikoani hasa ktk mkoa wa morogoro.

Cha kushangaza sana pamoja na uporaji unaotekelezwa maeneo mbalimbali ya jiji, Bodaboda zinazopokwa maeneo hayo na kusababisha mauaji na kujeruhi waendeshaji, huuzwa kwa bei ya kutupwa....

Ninaamini tabia hii itakomeshwa....katika hali na matukio ya kuchomwa moto wezi wa bodaboda kuashiria kuchukizwa na hali hiyo wengi wao hichomwa moto wanapokamtwa na hisia za mhusika kumiliki pikipiki ya wizi.
 
ukiitwa pale makao makuu ya jeshi la polisi utatoa ushirikiano?
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Asante kwa Taarifa hope litafanyiwa kazi.
Hapo tu umeishatoa ushirikiano kwa Polisi,sasa sijui wengine wanataka ushirikiano vipi.
Tatizo hivi vyombo vyetu vinataka kila kitu vitafuniwe,wakati wanakula kodi zetu kwa kwenda kozi mbali mbali.
 
Back
Top Bottom