Unajua vyuo vya Mtwara! Pitia hapa...

Unajua vyuo vya Mtwara! Pitia hapa...

sawa ila ngoja niulizie maana nipo karibu na chuo cha court sea ila wanatowa course nyingi zinazousu afya
 
pia kama anaweza kuja sauti tunamkaribisha wapo vizuri kwenye sheria ishu za usajiri hamna shida hata
 
Mm nipo Sauti ila hapa Saut hawatoi kozi ya nurse bali wana course nyingine ambazo ni community development ngazi ya dip na certificate, account, Kuna chuo cha NTC kipo Ligula ndo wa natoa nurse, Kuna utumishi, Kuna TIA na VETA
hicho chuo kina nursing
 
Back
Top Bottom