Unajua unamiliki nini kati ya asset au liability?

Nakubaliana nawe hasa katika luxuries kama gari binafsi kwa gharama ya mkopo na at same time ukilipia mafuta, services, insurance etc lakini ningependa kumtetea bwana Y, gharama za umeme na maji zinabaki hata kama angepanga cheaper house kuliko anayomiliki hivyo sio factor katika kufikia maamuzi y kupanga au kukaa kwake, pili yawezekana nyumba yake haimuingizii kipato lakini anasave pesa ambayo angelipa kama hiyo mil 57 angetumia kwenye luxurious kwa sababu nyumba(shelter) ni necessity, tatu mchakato husika una mzunguko kama dalali, utunzaji wa nyumba ikiwa mikononi mwa mpangaji etc so akaishia kukaa kwenye nyumba mbovu na faida ikaishia kwenye huo mzunguko hasa kama tofauti ya kodi anayolipwa na anayolipa sio kubwa...
 
kuna watu ambao elimu zao ni liability kwakuwa elimu waliyonayo haiwaingizi chochote
 
Kauli za kimaskini hizo.hata mitume wa mwenyezi mungu walikuwa wanatafuta rizki na kufanya biashara.na wala hujaambiwa utumie muda wako wote kutafuta pesa na mali.na hakuna dini inayotukuza umaskini.hivi wote mkiwa maskini hizo zaka zitatolewa na nani

ha ha ha kweli mawazo ya kujikatia tamaa
 
Kaka angu alinunua gari kabla ya kujenga ila. Gari alilonunua ni lakutembelea alisemakwamba litamsaidia katika mambo yake nakupata pesa nyingi. Alifanikiwa kwa ipo ila watu walimedic sana
 
Mkuu kununua gari sio tatizo hasa Kama unalipata na kuliendesha within your income na bila kuathiri mipango yako au ni sehemu katika kurahisisha upatikanaji wa pesa... Ni muhimu kuweka priorities
 
kuna watu ambao elimu zao ni liability kwakuwa elimu waliyonayo haiwaingizi chochote

Two years ago nliishi Mkoani, kuna watu wanalipa kubadilishiwa ringtone ya simu, , simple phone settings, kufunguliwa acc FB, email, kuwekewa free programs kwenye pc hadi ms essential mtu anawekewa Kwa pesa ndefu, yawezekana elimu isikuingizie kipato but ikafanya Maisha easier na kutokupa gharama zisizo na msingi, elim n elim 2 ndg... Kuna watu wanapiga na kutuma sms 2 kwenye Android, hana kingine anachojua....
 
Habari za asubuhi hii wajameni!

Nimekua nikichunguza mambo ya vijana hususani wa mijini na hasa wale ambao wanahisi maisha kwao ni kua na gari zuri,nyumba nzuri,na masimu makubwa makubwa na mambo mengine kadha wa kadha.

Lakini nadhani kuna mambo ya msingi sana ambayo vijana tunahitaji kuyafikiria kabla ya kufanya hasa ukizingatia maisha ni mipango na sio mitazamo kama vile watu wanajua.

Labda nije katika mada husika kama vile inavyosema hapo juu kwamba unajijua unamiliki nini kati ya asset au liability?

Kwa wale ambao hapa tumeachana kidogo nirahisishe kwa kusema hivi, yaani uksma ASSET maana yake isiyo rasmi ni kitu kinachokuingizia na LIABILITY ni kitu kinanachokutoa katika mfuko wako. Nadhan hapa sasa tumeelewana walau kidogo yaani.

Kumekua na lindi la vijana wengi sana ambao wamekua wakipambana ili wajikwamue kimaisha na kuhakikisha wanakua na maisha bora kama chama chao kinavonadi sera zake."maisha bora kwa kila mtanzania".labda tujaribu kuhoji mfano huu.

BWANA X:huyu amejenga nyumba yenye garama ya fedha za kitanzania 78milioni na ameamua kuipangangisha kila mwezi akipata laki350,000 kutoka kwa mpangaji wake lakini wakati huohuo bwana x anaishi katika nyumba ya kupanga anayolipa kiasi cha shilingi za kitanzania 80,000 kwa mwezi.

BWANA Y:
huyu amejenga nyumba yenye thamani ya shilingi za kitanzania 57milioni na ndipo anapoishi kwa sasa ingawa anailipia nyumba hiyo maji,umeme,kodi ya jengo,kodi ya ardhi n.k.

Sasa tuje katika uhalisia wa kimtazamo kama vile jinsi binadamu tulivowazuri kunanga wenzetu kuliko kusifia,angalia hao bwana x na y jinsi ambavyo wote ni wamiliki wa nyumba zao tena halali kabisa lakini angalia ni kwa jinsi gani hawa mabwana wamezidiana uelewa wa kumiliki asset na kumiliki liabilty!

Bwana x anafaidika kwakua garama za malipo ya maji,umeme hazipo katika matumizi yake ya mwezi na hivyo kumfanya aongeze pato kwa kua anaasave kiasi hicho ukilinganisha na bwana y.

Sasa vijana wengi hua nawaangalia kwa jinsi walivo na maisha ya kiliab ility kwakua wanakua wanavitu visivokua na tija katika maisha yao kuliko kuwekeza kwenye vitu ambavyo vinamsingi kwao.

Kijana anaingiza mshahara wa laki4 labda lakini cha kushangaza anamiliki simu au tab ya kuanzia laki5,ieleweke si mbaya kumiliki tatizo katika principles za uchumi mtu huyu ni limbukeni maana anamatumizi yaliozidi kipato chake.

Unakuta kijana kapanga nyumba nzima lakini kipato chake ni kidogo kulinganisha na kodi ya laki250 kwa mwezi ila kwa kuwa anahitaji washkaji wamuone anajua na ana mipango basi maskini ya Mungu anajiumiza na kwa kuongeza kamkopo ka kununua IST au VITZ au PASSO basi ilimradi mshahara uingie hata laki150 imsogeze kwa mwezi.

Nawasihi vijana jifunzeni kubadilika na ujue kusema "MIMI NI MIMI NA NINAWEZA" kwa kua kila jambo linawakati wake hivyo ni muhimu sana vijana mkaweka nguvu katika kuwekeza kwenye assets kuliko liaabilities ambazo mnahisi ni muhimu kumbe ndizo zinazowarudisha nyuma katika maendeleo yako.

Kataa pepo la mikopo isiyokua na tija kimaendeleo ila chukua mkopo wenye kuleta tija ya kuongeza kipato chako cha kila siku na uendelee kuongeza malengo yako kwa kuona faida ya uwekezaji wako kadri siku zinavoendelea kwenda mbele.

Gari,simu,nyumba vinaweza kuwa assets na visiwe liability tena kwako.ANZA SASA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI VIJANA WA TANZANIA

Mkuu huwa una akili ukiacha pombe za kienyeji!

Nice one hii.
 
safi sana keep it up kijana! unaona mbali.
 
Ningemjua Tajiri mmoja tu aliekufa na akazikwa na nyumba,gari,mashamba,ningetumia 90%ya muda wangu kuvitafuta.

Mkuu, wazo la kwamba hutazikwa na mali hivyo hakuna haja ya kutafuta ni ubinafsi. Wakati wako wa kufa ukifika jamii yako itaendelea kufaidi unavyovitafuta. Haiyumkini wewe pia umewahi kufaidika na vya waliotangulia mbele ya haki.
 
Habari za asubuhi hii wajameni!

Nimekua nikichunguza mambo ya vijana hususani wa mijini na hasa wale ambao wanahisi maisha kwao ni kua na gari zuri,nyumba nzuri,na masimu makubwa makubwa na mambo mengine kadha wa kadha.

Lakini nadhani kuna mambo ya msingi sana ambayo vijana tunahitaji kuyafikiria kabla ya kufanya hasa ukizingatia maisha ni mipango na sio mitazamo kama vile watu wanajua.

Labda nije katika mada husika kama vile inavyosema hapo juu kwamba unajijua unamiliki nini kati ya asset au liability?

Kwa wale ambao hapa tumeachana kidogo nirahisishe kwa kusema hivi, yaani uksma ASSET maana yake isiyo rasmi ni kitu kinachokuingizia na LIABILITY ni kitu kinanachokutoa katika mfuko wako. Nadhan hapa sasa tumeelewana walau kidogo yaani.

Kumekua na lindi la vijana wengi sana ambao wamekua wakipambana ili wajikwamue kimaisha na kuhakikisha wanakua na maisha bora kama chama chao kinavonadi sera zake."maisha bora kwa kila mtanzania".labda tujaribu kuhoji mfano huu.

BWANA X:huyu amejenga nyumba yenye garama ya fedha za kitanzania 78milioni na ameamua kuipangangisha kila mwezi akipata laki350,000 kutoka kwa mpangaji wake lakini wakati huohuo bwana x anaishi katika nyumba ya kupanga anayolipa kiasi cha shilingi za kitanzania 80,000 kwa mwezi.

BWANA Y:
huyu amejenga nyumba yenye thamani ya shilingi za kitanzania 57milioni na ndipo anapoishi kwa sasa ingawa anailipia nyumba hiyo maji,umeme,kodi ya jengo,kodi ya ardhi n.k.

Sasa tuje katika uhalisia wa kimtazamo kama vile jinsi binadamu tulivowazuri kunanga wenzetu kuliko kusifia,angalia hao bwana x na y jinsi ambavyo wote ni wamiliki wa nyumba zao tena halali kabisa lakini angalia ni kwa jinsi gani hawa mabwana wamezidiana uelewa wa kumiliki asset na kumiliki liabilty!

Bwana x anafaidika kwakua garama za malipo ya maji,umeme hazipo katika matumizi yake ya mwezi na hivyo kumfanya aongeze pato kwa kua anaasave kiasi hicho ukilinganisha na bwana y.

Sasa vijana wengi hua nawaangalia kwa jinsi walivo na maisha ya kiliab ility kwakua wanakua wanavitu visivokua na tija katika maisha yao kuliko kuwekeza kwenye vitu ambavyo vinamsingi kwao.

Kijana anaingiza mshahara wa laki4 labda lakini cha kushangaza anamiliki simu au tab ya kuanzia laki5,ieleweke si mbaya kumiliki tatizo katika principles za uchumi mtu huyu ni limbukeni maana anamatumizi yaliozidi kipato chake.

Unakuta kijana kapanga nyumba nzima lakini kipato chake ni kidogo kulinganisha na kodi ya laki250 kwa mwezi ila kwa kuwa anahitaji washkaji wamuone anajua na ana mipango basi maskini ya Mungu anajiumiza na kwa kuongeza kamkopo ka kununua IST au VITZ au PASSO basi ilimradi mshahara uingie hata laki150 imsogeze kwa mwezi.

Nawasihi vijana jifunzeni kubadilika na ujue kusema "MIMI NI MIMI NA NINAWEZA" kwa kua kila jambo linawakati wake hivyo ni muhimu sana vijana mkaweka nguvu katika kuwekeza kwenye assets kuliko liaabilities ambazo mnahisi ni muhimu kumbe ndizo zinazowarudisha nyuma katika maendeleo yako.

Kataa pepo la mikopo isiyokua na tija kimaendeleo ila chukua mkopo wenye kuleta tija ya kuongeza kipato chako cha kila siku na uendelee kuongeza malengo yako kwa kuona faida ya uwekezaji wako kadri siku zinavoendelea kwenda mbele.

Gari,simu,nyumba vinaweza kuwa assets na visiwe liability tena kwako.ANZA SASA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI VIJANA WA TANZANIA

nadhani you hv a point,sema hapo kwenye maji na umeme umechemka,lazma mtu utumie maji na umeme popote pale hata uwe umepanga,ni kuyatumia vizuri tu,alafu kujenga sio hasara inategemea unajenga ukiwa umejijengaje na kiasi gani umetumia koz ili uishi lazma upange au ujenge na ukijenga pia unakata kodi ya nyumba kwenye gharama zako,nadhani kama mtu anaweza jenga ni bora zaidi...lakini hivyo vingine ulivotaja vina mashiko!
 
Back
Top Bottom