Unajua somalia kuna ndugu zetu?

bingu wa m

Member
Aug 10, 2011
20
7
Mnamo karne ya 19 enzi ya utumwa kuna watanzania walichukuliwa na waarabu na kuachwa Somalia na wanaongea kiswahili, population inakadiriwa laki tisa. Wanajulikana kama Somali bantu google utaona.

Tuwaombeni mungu awaondolee matatizo ni watu wetu walichukuliwa bila kupenda.
 
mnamo karne ya 19 enzi ya utumwa kuna watanzania walichukuliwa na waarabu na kuwachwa somalia na wanaongea kiswahili population inakadiriwa laki tisa.wanajulikana kama somali bantu google utaona,tuwaombeni mungu awaondole matatizo ni watu wetu walichukuliwa bila kupenda.

Lakini ukumbuke kuwa wasomali wanasema wao sio wabantu wala waafrika, tena mtakosana sana ukiwaita hivyo. Wenzako hawautaki uafrika wala ubantu
 
mnamo karne ya 19 enzi ya utumwa kuna watanzania walichukuliwa na waarabu na kuwachwa somalia na wanaongea kiswahili population inakadiriwa laki tisa.wanajulikana kama somali bantu google utaona,tuwaombeni mungu awaondole matatizo ni watu wetu walichukuliwa bila kupenda.

nadhani wengi wao wana Asili ya Tanga-Wabondei, nakumbuka kipindi cha mkapa kuna baadhi aliwapokea na kuwapa uraia wa Tanzania tena
 
nadhani wengi wao wana Asili ya Tanga-Wabondei, nakumbuka kipindi cha mkapa kuna baadhi aliwapokea na kuwapa uraia wa Tanzania tena
Mkuu usitake kumlinganisha simba na nyani. Wasomali ni wasomali na hakuna ushahidi wowote kuwa ni wabondei ama wazigua. Tumeshaambiwa kuna kabila liko Nigeria weusi tii kam mkaa wanadai nao ni Jews tena wanataka wapelekwe Israel, lakini Jews wa Israel wamechomoa.
Hizo theories sijui wachaga wametoka Egypt ama wazaramo wametoka Guinea, wanyakyusa ni wafulani wa West Africa etc ziko nyingi mtaani na tumechoka kuzisikia
 
tuna zungumzia wasomali wabantu sio hao ukiwaona unajua ni wasomali hao walisha kujaga kipindi fulani miaka ya 92 na serikali ikawapa uraia na kusema tunawarejeshea uraia wao wana ngomazao za asili kuna wengine ni wadigo.hao ndio wakwetu na hawasafiri kama hao vichaa wenye nwele laini.
 
nadhani wengi wao wana Asili ya Tanga-Wabondei, nakumbuka kipindi cha mkapa kuna baadhi aliwapokea na kuwapa uraia wa Tanzania tena
Kwa ukaribu zaidi nadhani ni Wazigua. Asili yao ni Handeni na hata waliporejea walipewa eneo hilo.
Hassan Diria(RIP) ni kutoka kabila la Wahengisa kama sio wasengeli, nilishangaa msomali mmoja alipo nipa habari za undani wa ukoo wake.
Kuna mahusiano makubwa sana kati ya wasomali na Wazanzibar na wakati wakiwa na serikali Wzbar walikuwa wanaingia bila kibali chochote.

Tatizo walilo nalo ni lile lile la Zbar kuwa kuwaita wabantu wanahisi mapungufu kwasababu wanaongea karibu sana kiarabu na dini ya Kiislamu. Ndugu zao wengi wapo ng'ambo ya Aden na Uarabuni. Kuna mji unaitwa Bosaso huo upo ng'ambo ya bahari ya shamu na wenyeji wanajitambulisha kama waarabu wa somali. In short nywele na rangi zinabaki kuwa tatizo kwa wenzetu.
 
Asili yao ni wazigua. nywele za kipilipili kabisa
Siyo hivyo tu, wanazungumza Kiswahili, Kisomali na Kizigua. Nimewahi kukutana nao California wale ambao walichukuliwa kama wakimbizi na Marekani. Wanazungumza Kiswahili kizuri tu na Kizigua. Nikawauliza kama walishawahi kufika Tanzania, baadhi wakasema ndiyo lakini kuna wengine hawajahi kabisa kufika Tanzania lakini wanasema Kizugua mpaka hii leo.
 
........ Ni kweli Wanajitambulisha kama Wazigua, kuna Mbunge mmoja ni msemaji sana BBC.lafudhi yake ya kiswahili ni ya kizigua kabisa !
 
Kwa ukaribu zaidi nadhani ni Wazigua. Asili yao ni Handeni na hata waliporejea walipewa eneo hilo.
Hassan Diria(RIP) ni kutoka kabila la Wahengisa kama sio wasengeli, nilishangaa msomali mmoja alipo nipa habari za undani wa ukoo wake.
Kuna mahusiano makubwa sana kati ya wasomali na Wazanzibar na wakati wakiwa na serikali Wzbar walikuwa wanaingia bila kibali chochote.

Tatizo walilo nalo ni lile lile la Zbar kuwa kuwaita wabantu wanahisi mapungufu kwasababu wanaongea karibu sana kiarabu na dini ya Kiislamu. Ndugu zao wengi wapo ng'ambo ya Aden na Uarabuni. Kuna mji unaitwa Bosaso huo upo ng'ambo ya bahari ya shamu na wenyeji wanajitambulisha kama waarabu wa somali. In short nywele na rangi zinabaki kuwa tatizo kwa wenzetu.
.......... ni mapungufu tu ya kuadmire wale waliokuzidi ikiwemo kukutawala kama vile Wangazija na Wacomoro wanavyojiona Wafaransa zaidi pamoja na kuwa ni waswahili na Waislaam !
 
.......... ni mapungufu tu ya kuadmire wale waliokuzidi ikiwemo kukutawala kama vile Wangazija na Wacomoro wanavyojiona Wafaransa zaidi pamoja na kuwa ni waswahili na Waislaam !

Teh...teh....unanikumbusha hotuba moja ya Mwl JK wa ukweli....aliposema....wapumbavu huona fahari kuongea lugha ya bwana mkubwa.....yaani mkoloni aliyetutawala..... na hata wanadiriki kuwadharau wenzao ambao hawajui kuongea lugha ya bwana mkubwa (mkoloni)....
 
Hao ni wasomali wenye asili ya tanzania . Wasomali wamegwanyika katika makundi mawli ambao ni wabantu na wahamatic sasa hawa ni wabantu wa kisomali ni kama mmasai sio mbantu ila mgogo ni mbantu hili halitaki degree hapa daima wahaamatic wote (watusi wabarbei wamasai wasomali wambulu ) wanajiona superio kwa jamii nyingine
usishagae wasomali wanawadharau wazungu ambao jammii nyingi za kiafrica wanawabudu!!!!!!!!!!!!
Mzungu kwa msoamli ni sawa na nguruwe (najisi)
 
Wasomali kwa kuhusudu waarabu, lolz

WASOMALI NI TOFATI NA WAARABU NA WAZUNGU WAKOLONI ,SOMALI PEKEE WALIWEKEWA MKATA WA KUTOZALIWA KATIKA ARDHI YAA MKATABA HUO OPO HARGEISA UMEANDIKWA KWA NGOZI WASOMALI WANAAMINI KUWA MZUNGU NI NAJISI KAMA NGURUWE KWA WAISILAMU
KUHUSU WAARABU KUNA UGOMVI MKUBWA SANA BAANA YA WASOMALI NA WAARABU MATATIZO YA SOMALIA MPAKA SASA INAAMINIWA MWARABU YUPO NYUMA YAKE
WASOMALI PEEKEE YAOA WALIOKO ULAYA WANAJIVUNI UAFRICA WAO AMINI SIKU YA TAREHE UHURU WAO WANAFANYA SHEREHE KATIKA MIJI YA ULAYA YOTE BILA YA UUOGA
WASOMALI NI MAJASIRI SANA HAWAOGOPI MWARABU NDIO MAANA HAKUNA MTUMWA WA KISOMALI DUNIANI
MTUMWA HUMUOGOPA MASTER WAKE DAIMA KAMA INAVYONEKANA LEO HAPA TANZANIA MWARABU ANAKUJA NA KUWACHUKUA WANYAMA LIVE

:drum::whoo:
 
...WASOMALI NI MAJASIRI SANA HAWAOGOPI MWARABU NDIO MAANA HAKUNA MTUMWA WA KISOMALI DUNIANI...:drum::whoo:
Katika waafrica wajinga nambari wani ni wasomali. Yaani wasomali wako tayari kuiharibu nchi yao na kujenga nchi za wengine. Angalia wanavyojenga Kenya na Tanzania wakati Mogadishu inazidi kuwa magofu. Wariyaa kazi wanayo. Ha ha ha ha ha!!!
 
Mnamo karne ya 19 enzi ya utumwa kuna watanzania walichukuliwa na waarabu na kuachwa Somalia na wanaongea kiswahili, population inakadiriwa laki tisa. Wanajulikana kama Somali bantu google utaona.

Tuwaombeni mungu awaondolee matatizo ni watu wetu walichukuliwa bila kupenda.
Nimeona wikipedia wanasema hivi: Those Bantu are not to be confused with the members of Swahili society in coastal towns, such as the Bajuni, who speak the Bantu Swahili language.
 
mleta mada mbona kachapa laapa..................vp bana unaleta mada then unashindwa kujustify
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom