Unajua somalia kuna ndugu zetu?

Unajua somalia kuna ndugu zetu?

Wale ni Wazigua kabisa wapo pake Handeni (FDC) wanaongea kizigua safi na kiswahili hata akiwa ametua leo kutoka somalia. Wasioamini waende Handeni pale FDC wapo wengi sana
 
Back
Top Bottom