Unajua kwanini Mwakyembe alikaa kimya?

Unajua kwanini Mwakyembe alikaa kimya?

Alikuwa analia maana pesa za umma zimetafunwa mno.:confused2:

Alikuwa analia atatoa wapi pesa za kurudisha, wakati zingine alishazigawa kwa wajumbe wa NEC.
Usifanye mchezo na fagio la escrow.
 
Mwakyembe dili yake ya bandarini na
kiwanja cha bilioni moja alichonunua Bahari beach tayari wabunge kama akina Mdee wanajua. Aliogopa kulipuliwa bungeni.

Pia kuhusika kwa marafiki zake Werema na Mwambalaswa kulimfanya awe bubu.

Mwanzoni alijaribu kushauri bunge litii amri ya mahakama.

Ameshapiga dili nyingi sana za ufisadi , kuna reli inataka kujengwa ameshapiga dola elfu 50.
Mwakyembe ni mnafiki tu , hana heshima tena miongoni msa watanzania.
 
Katika sakata la escrow mh Harison Mwakymbe alitaka kusababisha mjadala usiendelee baada ya kuja na hoja ya Mahakama. Wabunge wengine walimshtukia kwamba ametumwa na wakampuuza. Sasa wakati sakata linaendelea aliona aibu sana maana kaidhalilisha taaluma yake ikambidi akaekimya mwanzo mwisho.
Mwakyembe alikaa kimya kwasababu escrow ilikuwa inamkumbusha machungu ya richmond ambayo ilisababisha hadi ngozi ya mwili wake iwe kama ya tembo akaharibika hadi leo. the mwakyembe you see today is not the same mwakyembe he was at udsm those years. hivyo alijua kama kipindi kile alibadilika akawa na ngozi ya tembo sasaivi angewagusa mafisadi tu angebadilika na kuwa na sura ya chura. yaliyomkuta ni makuba anayajua yeye pekee.
 
Alikuwa analia atatoa wapi pesa za kurudisha, wakati zingine alishazigawa kwa wajumbe wa NEC.
Usifanye mchezo na fagio la escrow.

Safari jamaa zangu hawa wamegusa pabaya.Wakati Stanbic ikijaribu kujitakasa inaaza kuchukua taratibu za kujua wapi pana shida na ni hapa UKWELI utakapo tamalaki.ESCROW account ndiyo kwanzaaaaaaaaaaaa imeanza.Yaani ni kama asubuhi jua ndilo linachomoza.Ngoja tuwasikilize wapiga ZUMARI,NGOMA na KINANDA.
 
Mkuu ni Zaidi ya hayo... Huyu Mwakyembe ni miongoni mwa beneficiary wakuu wa ESCROW! alichokuwa anakishuhudia ni jinsi ambavyo Uongo wake wa kumuondoa Lowassa unavyogeuka na kuanza kuwatafuna bila kuacha mfupa!!! Ikumbukwe kuwa UFISADI mkubwa sana umefanyika baada ya Kumuondoa Lowassa kwenye nafasi ya PM... Kuna sakata la Mikataba Bandarini, Kuna sakata la Madawa ya kulevya na Ujangili, Vibali vya Sukari, Mikataba ya Bomba la Gas ... List ni ndefu mmno... The real FISADI sasa wanaanza kuumbuka mchana kweupee ... Deal la Treni kati ya DIA na Mjini itamtokea puani soon ... Mwakyembe ni Janga Zaidi ...
Katika sakata la escrow mh Harison Mwakymbe alitaka kusababisha mjadala usiendelee baada ya kuja na hoja ya Mahakama. Wabunge wengine walimshtukia kwamba ametumwa na wakampuuza. Sasa wakati sakata linaendelea aliona aibu sana maana kaidhalilisha taaluma yake ikambidi akaekimya mwanzo mwisho.
 
Hakuna lolote LA maana linaloonyesha mwakyembe alikaa kimya kwa sababu ya makosa aliyonayo. Nyingi ni tetesi tu. Kama kuna ushahidi tuwekewe tuujadili.
 
Mwakyembe ni waziri wa serikali.Ulitegemea ailalue serikali yake?Yeye angetoa mchango wake kama kuna hoja inayohusu wizara yake.Kumbuka Mwakyembe hakuwa mtuhumiwa au wa wizara yake.
 
lowassa alikaa kimya jumla, lakini mwakyembe alitaka kutuingiza kingi watu wakamstukia
 
Mwakyembe is kitu tena.. Mnafiki tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mwakyembe dili yake ya bandarini na
kiwanja cha bilioni moja alichonunua Bahari beach tayari wabunge kama akina Mdee wanajua. Aliogopa kulipuliwa bungeni.

Pia kuhusika kwa marafiki zake Werema na Mwambalaswa kulimfanya awe bubu.

Mwanzoni alijaribu kushauri bunge litii amri ya mahakama.
Sasa kuna walio safi kweli maana mkuu huyu alipiga kelele kweli za ufisadi kwenye sakata la RICHMOND tukajua ni jembe.
 
Mwakyembe wakati ule alikua na njaa sasa hivi hana njaa tena,mwenye shibe kelele za nini? Ameshibia TPA na TRL
 
sasa mtu kuongea si anajoja pia inategemea na nafasi uliyopewa na spika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom