Katika sakata la escrow mh Harison Mwakymbe alitaka kusababisha mjadala usiendelee baada ya kuja na hoja ya Mahakama. Wabunge wengine walimshtukia kwamba ametumwa na wakampuuza. Sasa wakati sakata linaendelea aliona aibu sana maana kaidhalilisha taaluma yake ikambidi akaekimya mwanzo mwisho.
Mbona Lowasa naye alikaa kimya? Naye anaogopa kudhalilisha raalima?

Jaman mmesahau,hivi mzee sitta nae alikuwepo bungeni?????
Mbona Lowasa naye alikaa kimya? Naye anaogopa kudhalilisha raalima?
Mbona Lowasa naye alikaa kimya? Naye anaogopa kudhalilisha raalima?
Alikuwa wapi?Lowasa hakua bungeni
Lowasa hakua bungeni