Unajua kwanini Mabasi yakaitwa Ester Luxury Coach?

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,449
Reaction score
2,496
Sababu ni hii huyu mama kwa Mujibu wa daily news digital ambayo ni mgazeti ya serikali yalienda hadi Iramba kwa Mwigulu Nchemba wakafanya naye mahojiano anaitwa Ester ndiye mama mdogo wa PM huyu ndiye alimlea PM tangu akiwa mdogo.

SIJASEMA ndio maana yale akayaita Ester ili kumheshimisha hapana, sijasema siyo yeye ila jaribu tu kuwaza

eesssss.jpg
 
Sababu ni hii huyu mama kwa Mujibu wa daily news digital ambayo ni mgazeti ya serikali yalienda hadi Iramba kwa Mwigulu nchemba wakafanya naye mahojiano anaitwa Ester ndiye mama mdogo wa PM huyu ndiye alimlea PM tangu akiwa mdogo.

SIJASEMA ndio maana yale akayaita ester ili kumheshimisha hapana
sijasema siyo yeye ila jaribu tu kuwazaView attachment 3505958
kama ana mthamini kiasi hicho mbona hali yake inaonekana ni maisha ya kawaida! Ni kana kwamba mama yangu ana hali nzuir kuliko huyo mwenye jina la mabasi!
 
Zamani kila kitu kilikua cha Ridhiwan hata ukijenga nyumba wewe watu wanasema ya Ridhiwan. Kuna uwezekano mkubwa sana haya mabasi sio ya MN na hana uhusiano wowote ule na mmiliki wake ila wabongo wana caption yao tayari. Wabongo wape picha tu maelezo wataweka wenyewe.
 
Hata Hayati Lowasa walimsema sana, siku ya mazisha wakamsafisha.

Hio ni silaha ya kisiasa ya watu fulani
 
Zamani kila kitu kilikua cha Ridhiwan hata ukijenga nyumba wewe watu wanasema ya Ridhiwan. Kuna uwezekano mkubwa sana haya mabasi sio ya MN na hana uhusiano wowote ule na mmiliki wake ila wabongo wana caption yao tayari. Wabongo wape picha tu maelezo wataweka wenyewe.
kwanini waseme ya mwigulu? kwanini wasiseme labda ya majaliwa au abduli?
 
Sababu ni hii huyu mama kwa Mujibu wa daily news digital ambayo ni mgazeti ya serikali yalienda hadi Iramba kwa Mwigulu nchemba wakafanya naye mahojiano anaitwa Ester ndiye mama mdogo wa PM huyu ndiye alimlea PM tangu akiwa mdogo.

SIJASEMA ndio maana yale akayaita ester ili kumheshimisha hapana
sijasema siyo yeye ila jaribu tu kuwazaView attachment 3505958
Tuache uzushi. Ester ni mtoto wa kwanza kwenye hiyo familia ambaye alifariki akiwa mdogo hivyo familia ikamuenzi mtoto wao kwa kumpa jina hilo. Hiyo familia haina uhusiano na PM.
 
Zamani kila kitu kilikua cha Ridhiwan hata ukijenga nyumba wewe watu wanasema ya Ridhiwan. Kuna uwezekano mkubwa sana haya mabasi sio ya MN na hana uhusiano wowote ule na mmiliki wake ila wabongo wana caption yao tayari. Wabongo wape picha tu maelezo wataweka wenyewe.
Hizo fununu hazijaanza leo na kila mtu alikuwa anazisikia. Kama si za kweli, kwa nini wahusika hawakuona umuhimu wa kujitokeza kukanusha. Hili pia linawahusu wale Lake Oil.
 
1. Kampuni inaitwa Ester
2. Mmoja wa wamiliki kwa mujibu wa taarifa fulani ya BRELA iliyopostiwa mitandaoni anaitwa Neema
3. Mama yake anaitwa Ester (kuna video ipo anahojiwa)
4. Mke wake anaitwa Neema
5. Amekiri mwenyewe kuwa mke wake anaitwa Neema
6. Amehusishwa na hiyo kampuni muda mrefu sana.
7. Siku zote hizo, hajawahi kutoka mtu yoyote kukanusha hizo fununu
8. Hizi zote ni "coincidences" tu
 
1. Kampuni inaitwa Ester
2. Mmoja wa wamiliki kwa mujibu wa taarifa fulani ya BRELA ikiyopostiwa mitandaoni anaitwa Neema
3. Mama yake anaitwa Ester
4. Mke wake anaitwa Neema
5. Amehusishwa na hiyo kampuni muda mrefu sana.
6. Siku zote hizo, hajawahi kutoka mtu yoyote kukanusha hizo fununu
7. Hizi zote ni "coincidences?"
Kama mama wa MN ni Esta basi hiyo ni coincidence tu. Ila mabasi kuitwa Esta ni kitambo kabla hata MN kujipata.

Hiyo brand ni jina la dada yake mke wa Mwigulu. Waliachiwa mabasi na baba yao mzee Ngesera. Ni kweli wamiliki BRELA ni hao wanaotajwa, ila ukweli ni kwamba MN aliitumia hiyo fursa kuingiza mzigo wa kutosha
 
Kauli zako zinajichanganya tu. Haueleweki unasema nini. Huyo hata alikana hahusiki na Singida Black Stars.

Haya yote yanawezekana katika nchi ambayo inaendeshwa kienyeji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom