EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,563
- 1,886
Ofisini kwetu limekuja agizo kwamba wafanyakazi wote tunatakiwa kuchanja tuwe na certificate ya COVID-19.
Binafsi nipo mikoa ya kanda ya ziwa huku ambako wengi hawakubaliani na chanjo.
Nilijiamini SIKU nikienda NI kufika Tu na kuchanja maana wengi kitaa wanasema hawachanji.
Sasa Jana nilitumiwa ujumbe toka makao makuu kwamba nitume cheti cha COVID-19 cha chanjo via email. Si ikabidi niende Leo hospitali ya wilaya kuchanja nikiwa nina ujasiri kwamba chanjo IPO Tu eeeh nilishangaa kuambiwa chanjo imeisha nisubiri ikiletwa nyingine.
Aisee nilichoka hapa najipanga kupanda bus kwenda wilaya nyingine kupata chanjo.
Nilichogundua watu wanachanja Sana kimya kimya halafu mitaani wanasema hawataki chanjo maana nikiwa kitaa kila mtu anapinga chanjo sa najiuliza hao waliochanja ni akina nani kila mtu anapinga chanjo?