Unajua kuwa ......

Unajua kuwa ......

Hata neno la Mungu linatuhitaji kutoa na tunapotoa Mungu nae anarudisha kwa kutumiminia baraka zake....Inapendeza sana nipe nikupe...
Umeitoa wapi hiyo?
 
Jisimamie na usifanye hayo kwasababu ya mtu mwingine bali kwasababu umejua kuwa ni kwa faida yako mwenyewe!
Jambo la msingi kabisa kwa kila mmoja kwa maisha ya bora ya mahusiano.
 
kupenda ni moyo... kila mtu ana wake.
 
nijuavyo kuna atakaekuwa anatoa zaidi kuliko mwingine,anajali zaidi kuliko mwingine,anapenda zaidi kuliko mwingine

Maisha ili yaendelee ni LAZIMA mmoja atumike kuliko mwingine au ni LAZIMA mmoja jitolee kwaajili ya usalama na uhai wa mwingine na hilo halijalishi kama huyo mwingine nae anajitolea kama mwenzake ama laa!
 
Back
Top Bottom