Unajua kuwa ......

Unajua kuwa ......

Sio kwa mahusiano ya sasa % ni ndogo sana wa kumpata wa kiivyo.

Don't expect love in return
 
Sio kwa mahusiano ya sasa % ni ndogo sana wa kumpata wa kiivyo.

Don't expect love in return

Na watu wote waseme hayaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
....Na usiende kutangaza kwa watu ati " mimi na xxxx tunapendana sana" ama " xxx ananipenda sana", Moyo wa mtu hausemewi hata kidogo.

Hata kama dalili za kupendwa unaziona wazi ujifanye kipofu?
 
Hata kama dalili za kupendwa unaziona wazi ujifanye kipofu?

Dalili sio kitu halisi
Unaweza kudhani unaona dalili za kupendwa kumbe unajidanganya mwenyewe

Unaweza kuona dada unakuchekea ukadhani anakupenda kumbe kila akikuona anakuwa anamkumbuka mwanae jinsi anavyokuwa na uso kama wako anapokuwa na njaa!!!!!!!!
 
Kupenda ni moyo, hii nayo kali sasa kuna mahusiano gani kati ya kupenda na moyo????

kwani mapenzi yanaishi wapi!

au wasukuma akina Honey Faith na Dinazarde wako wanaposema limoyo langu limekudondokea huwa wanamaanisha nini? lols!

(ukishikwa na hasira...! njoo pm nikupooze kulaleki!)
 
Last edited by a moderator:
kwani mapenzi yanaishi wapi!

au wasukuma akina Honey Faith na Dinazarde wako wanaposema limoyo langu limekudondokea huwa wanamaanisha nini? lols!

(ukishikwa na hasira...! njoo pm nikupooze kulaleki!)

Hivi kumbe mapenzi nayo yanaishi??
kweli kuwa uyaone.
Moyo unadondoka vipi??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom