Halafu Kongosho nimekuuliza hiyo AVATAL yako ndo unatongozwa na hako kajamaa au kananyonya?
'Lizzy-Mizawadi', the name suits you :lol:
Hahahahaaa poa ila usipoangalia atammalizia mtoto aiseehuyo ni hotelia
anaangalia kama chakula cha mtoto kiko sawa
si unajua kila hotel lazima kuwe na mtu wa kutest msosi kama upo sawa?
Hahahaha!!
Sasa mashindano bila zawadi ni mashindano kweli?
Zawadi ni partner m1 hendisamu. Mwaga sera tu..:focus:
akina rrrrr, wana mistari hii
1. Rara nikurare
2. Rara nikurenge
3. Uchue mi panga rangu rinataka kukuchoma
ama kweli ni ngumu sana kuukumbatia mbuyu.
Bora kuuzunguka
hata zile za
' nikinywa maji nakuona kwenye glass'
'sili silali kwa ajili yako'
Pipi gololi...lolAiseeee, . . .
Mshindi atazawadiwa?
Hivi BTW kuuzunguka ni sawa na kuukumbatia?lol
Zile za "Nikienda kuoga nakuona kwenye taulo"
Halafu kuna zile za ki old skool...Eti "usiku silali nakuota " Sasa shangaa utaota vipi kama hulali...lol
Pipi gololi...lol
Unapenda "kuzawadiwa"?
Hii thread nimeipenda... 🙂
Kongosho nitaanzisha thread itakayokuwa na tittle,''Kongosho ni jinsia gani''?huyo ni hotelia
anaangalia kama chakula cha mtoto kiko sawa
si unajua kila hotel lazima kuwe na mtu wa kutest msosi kama upo sawa?
Hivi ukiweka pipi kwenye chai inakuwaje?
Kama nastahili NDIO napenda.
Kongosho nitaanzisha thread itakayokuwa na tittle,''Kongosho ni jinsia gani''?
Ngoja sianzishi heri nikuchunguze kwanza maumbilekwa kweli hata mie huwa sijielewi
labda utansaidia
Ngoja sianzishi heri nikuchunguze kwanza maumbile
Hii ni chit chat usimhukumu aliyeta post,kama wewe hupendi kutongoza/kutongozwa usingejipitisha kwenye hii thread.Hii ingekaa kule facebook ingependeza sana maana kule kunawatongozaji si mchezo. Mtu anatongoza wasichana 10 kwa siku wote wanakubali unafanya mchezo nini. Peleka facebook