Mie yule,
nimeamua ku-renew statement
maana kasahau naona
acha tumsaidie
mie nilimwelewa siku nyingiii
kuanzia kwenye usupastaa
Kongosho ma dia..wewe ni fest ledi wangu. Hawa wengine ni wasaidizi tuYou are the most un-msimamo man ever created in jf.
mbona umeshamwambia tayari sasa unaogopa nini tena?mpole nakupenda sana ila naogopa kukuambia,nataka sana uwe my wife wangu,hapo vipi nimesomeka au? Nalog off
Hehehehehe, sasa sijui atazuga mpaka lini.Maana mhusika nae kama haoni vile.
pima uwezo wako wako mwaga mistari huwez jua labda utatoka na kimwana ama mkaka wa haja.
Sasa huyo Kimwana na wewe si Upo Ndani Yake? Unataka Kujitoa Vipi eeh Wewe Unataka Vimwana Wenzako tu ndio Wapate ila wewe No oi...!mm nilkua na mana watu wamwage mistari lkn sio kwang
Kongosho ma dia..wewe ni fest ledi wangu. Hawa wengine ni wasaidizi tu
Acha tabia mbaya wewe.nampa one week
hii sasa natoa altimatam
asipofanya tukio?!
i will be charged and convicted na m.o.l.le.s.t.l.i.n.g big boys
siwezi nikachangia thread ya kishamba kama hii.
Hii thread nimeipenda... 🙂
Acha tabia mbaya wewe.
Binti kashindwa kutongoza anaishia kujipitisha pitisha tu. . . embu msaidie kufikisha ujumbe!!
Umejuaje km ni mkaka??????ya kwangu.
Kaka ulie na avatar ya head4ns nakupenda sina raha ju yako.
Hahahahaa kweli aiseee imekula kwetu hata wakitoa zawadi mi naikosatunaotumia makuwadi hapa ngoma ngumu!!!!!!
tunaotumia makuwadi hapa ngoma ngumu!!!!!!
Teh labda hajui km kuandika chochote ni kuchangia.....Na bado ukachangia, kweli mshamba hajui ushamba.
Huyo ntoto ulontongoza hapo lazima anatokea Kiembe Samaki huyo ati!.Mpoleeee, yaani ntotoo weyee wallahi wanimaliza'aa... Unrefu kama nkarafu'uu... Mashallahu... Wang'ara kama embe boribo'o...
Nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo'o... kifua kimetuna kama nazi koroma'a...
Ntumee! Miguuyo injaa kama ndizi yankono wa tembo'o... he!
Basi hayo macho'yo makubwa kaa kinyonga, kam'bwia ugoroo!
Kiuno icho, kaa shina la nnazi kitamli... mmmh, wanimaliza weyee!
Nifikiriee mwenzio naumiaa miye....e....e! Mpoleeee.... we!