Unajua kirefu cha BOMA

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
Karibu katika kila mkoa au wilaya katika makao makuu ya serikali ya mkoloni (kwa RC or DC) hata huko Zambia na Malawi huwa kuna BOMA na huitwa Bomani kumbe ni British Overseas Management Adminstration
Japo kwa baadhi ya jamii za bongo Boma ni zizi la mifugo au mkusanyiko wa kaya.
UPO HAPO??
 
Vipi kuhusu pale BOMA NGOMBE pale wilayani Hai, ina maana palikuwa na zizi la ngombe mji wate ule
 
British Overseas Management Adminstration???
Please substantiate your arguement (source of literature, etc). :embarrassed:
 
Hee basi babu yangu atakuwa alichanganya madesa aliniambia ni British Overseas Management Authority
 
sishangai coz hata kariakoo ilikuwa ni carrier corps, waswazi tukainyambulisha mpaka kariakoo ya sasa. newala ilikuwa new wells mpo hapo!
 
boma:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…