Unajua chochote kuhusu gari pitia hapa

Unajua chochote kuhusu gari pitia hapa

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
wakuu najua hum kuna wataalam wengi sana wamagari kuna watu humu nimafundi wa magari aina mbalimbali kuna watu wana penda mambo ya magari kuna watu wanaufaham kwa namna 1 au nyingine shida yangu kubwa ni mchango wako wowote ule juu ya elim ya magari iwe unakitabu au kijarida link cd dvd hard disk au takataka yoyote ile inayohusiana na ufundi wa magari nilikuwa naomba msaada wenu wakuu.
nipo tayari kwa garama yoyote ile itakayo jitokeza au itakayo hitajika najua siku zote kizuri garama.

mm nifundi umeme wa magari lakini napenda zaidi kulifaham gari mwanzo mwisho naninapenda sana kutengeneza gari kisasa zaidi sababu nagari ya sasa hivi yanataka hivyo.
kutokana na uhaba wa elim ya ufundi umeme wa magari nchini kwetu na kutokuwa na chuo au mahari wanapotoa elim hii nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye chochote tuweze kusaidiana wakuu.

namba yangu ni 0717 228064 nipo dar .
ila hata kama utakuwa mkoani haina shida kama unakitu mm nitakifuata tuu.

IDUMU JF
 
Back
Top Bottom