Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,231
I hope wote ni wazima na weekend inaenda vizuri.
Nina swali la uzushi tu na pia unaweza ukadhani sio la msingi.
Unajisikiaje na utafanyaje au kuchukua hatua gani pale unapochat na mpenzi wako,mnakuta mpo kwenye serious chat na mnaongea mambo ya maana au unamwelezea hisia zako but yeye anajibu kwa jinsi we hufurahii,unaandika kwa maelezo mengi ila yeye anajibu kwa ufupi,kama vile
lol!
haya!
thanks!
good!
nice!
sijui!
we unaonaje! n.k
but mi huwa nachukulia kama anachat na mwingine,au ni kama vile mi namsumbua tu,au ni kama anakuaga vile ili mkamalize chating.
hata sms za simu we unapoteza mda wako but majibu yake yanakuwa kama hayo.
Je we kwa upande wako huwa unawajibu vipi watu kama hawa au unachat nao vipi?