Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Umemaliza kila kitu mzee Baba, tena hao huwa nawaona sawa na nyani wa Udzungwa


"Stand for the truth always stand alone"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zikiwa ndefu zinachanika vizuri tu .....mwenyew ninazo ngumu kama katani ....natumia tu mafuta mazuri ya nywele zinachanika poaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Nywele ngumu kama katani! Dah! Inabidi uwe na kipindi kabisa mama, ili wenye nywele za kikatani waelimike.

Dah! Halafu kama picha inanijia hivi kama nazijua nywele za kikatani. Ila siyo mbaya uki' drop ka picha.
 
Safi sana, pia kuna tofauti kubwa sana kati ya urembo "fake material" na uzuri "natural material" 7bu urembo hukaa kwa muda mfupi tu lkn uzuri hudumu muda mrefu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…