Unajipaka mafuta gani mwilini?

Mimi ngozi yangu ni sensitive, ni ya mafuta, mpaka leo sipakagi mafuta yoyote, sijajua nipake mafuta gani!
 
So Diva moja,clere mbili.vipi unatumia shower gel?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa napaka Vaseline blue ya mgando, vaseline blue ya lotion, lakini sasa hivi natumia mafuta ya nazi kwa kipindi ambacho nashinda home
 
Foundation nzurii kampuni ya Mac

used to love Sleek ila sizioni tena siku hizi
 
Yaani mimi nina ngozi sensitive Natengeneza sabuni ya kuogea na lotion yake, kuna udongo maalum toka Kibaha nautumiaga. Yaani familia nzima ngozi hamna chunusi wala mabaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…