Na mzee Mwifwa? Tumefanyaje kwani?Haaa
Si na mzee Mifwa hapo?
Haya na Bangi ya usku unavutaHaikuwa yako hii...
Kwanini isiwe baba na mama ndo role models?Huyo Beyonce anachukua nafac ya
Wife ntakae mpata
Baraza
HahahahahHahaha
Mi nawatakia maisha mema hao sina shda nao
Hahahaha fid qUkipigwa ngumi ya sikio ukaulizwa umeisikiaje?
Mpige ngumi ya macho muulize UNAIONAJE?
Samahani nilikuwa napita.
Haha hauna macho!?Mimi Sijioni
Hahahaha naingiaje hapo?Lkn ujue part ya Beyonce ww
Ndo mchezaj
Ajionavyo mtu ndani yake, ndivyo alivyo![emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375] nakaziaJolie Jolie umeongea jambo la muhimu japo wengi tunafanya masihara. Biblia inasema ajionavyo mtu ndani yake, ndivyo alivyo.
Naomba nieleweke, jithamini na kutambua uwezo na thamani yako ilimradi usidharau wengine na kuonyesha majivuno.
HahaahahaHahahaha
Braza familia now imetulia
Japo ilichua mudaa
Sawa mkuu
Hongera great thinkerI'm great thinker!
Ova!
HahahahaSasa hapo Chief inabidi tupeleke maombi taasisi ya elimu watuandalie mtaala maalum wa kupata hayo majibu. Ni topic ngumu sana imejifungafunga kwenye vitu vingi sana.
Kutokukubali kukosolewa
Mpaka hapa nlipo na nlipofkiaKwanini isiwe baba na mama ndo role models?
Ukaposain barua ya mshenga naHahahaha naingiaje hapo?
HahahahaHuyo Beyonce anachukua nafac ya
Wife ntakae mpata
Baraza
Si kwakuwa anafuata mawazo yako ya kujiona ako sahihi na anaweza kila kituKutokukubali kukosolewa
Zawadi yangu naikuta wapHongera great thinker