Unajiona kabisa una sura mbaya yet unaenda kuzaa na mtu mwenye sura kama yako. Watoto wako watateseka sana kupata kazi na wenzi

Mtoa mada wazazi wako Wana muonekano Gani? Wewe na mkeo mkeo/mmeo mna muonekano Gani?vipi watoto wako Wana muonekano Gani?
 
Mafanikio huletwa na character sura abadani haiwezi kukupa mafanikio labda itakusaidia "kutumika"
 
Sura nzuri bila kuwa na akili ni kazi bure
Binti wako mwenye degree ya business administration mwenye sura ngumu mpeleke ATCL mwombee internship uone namna sura ilivyo muhimu kwenye jambo lolote.
Atachukuliwa mwenye short course ya wiki 2 na mwanao kuachwa kwasababu ya sura.
Hakuna mtu asiye na akili au asiyejua kufanya kazi.
Soldiers are made not born.
Hiyo akili mtu ataijuaje bila kuona matunda ya kazi yako?
 
Sura nzuri siyo lazima bhana, we kaza usake mkwanja au uwe vizuri upstairs.

Mtoto wa kiume au kike jikubali, ka mimi ninavyo ikubali mashine yangu 😅
 
Binti wako mwenye degree ya business administration mwenye sura ngumu mpeleke ATCL mwombee internship uone namna sura ilivyo muhimu kwenye jambo lolote.
Atachukuliwa mwenye short course ya wiki 2 na mwanao kuachwa kwasababu ya sura.
Hakuna mtu asiye na akili au asiyejua kufanya kazi.
Soldiers are made not born.
Hiyo akili mtu ataijuaje bila kuona matunda ya kazi yako?

Binti wako mwenye degree ya business administration mwenye sura ngumu mpeleke ATCL mwombee internship uone namna sura ilivyo muhimu kwenye jambo lolote.
Atachukuliwa mwenye short course ya wiki 2 na mwanao kuachwa kwasababu ya sura.
Hakuna mtu asiye na akili au asiyejua kufanya kazi.
Soldiers are made not born.
Hiyo akili mtu ataijuaje bila kuona matunda ya kazi yako?
Tuwekeze kwenye maarifa ndio ukombozi pekee kwa mtu yeyote,Sura ni nyongeza tuu lakini haiwezi kumkomboa mtu,Kuna watu wana sura nzuri sana lakini wana maisha magumu balaa
 
Back
Top Bottom