Unajiona kabisa una sura mbaya yet unaenda kuzaa na mtu mwenye sura kama yako. Watoto wako watateseka sana kupata kazi na wenzi

Hakuna mtu mwenye pesa zake, elimu yake au resources zake atakubali kuoa mke au kuolewa na mume mwenye sura mbaya.

Siku hizi wasomi wapo kila kaya, ili utoboe kupata kazi ya maana lazima connection au reception/ sura nzuri maana kazi zile za mabavu sasa haziko nyingi na kama zipo hazina maslahi.

Sura nzuri ni kigezo muhimu sana kwenye kupata fursa dunia ya leo.
Mtu mwenye sura nzuri automatically kila mwanadamu hupenda kuwa karibu naye bila kujali jinsia yake.

Pambana uoe mrembo au uolewe na handsome muzae watoto wazuri.
Kilichomfanya Potifa amnunue Yusuph na kumweka ndani na si mashambani kama watumwa wengine ni sura nzuri. Hata alipofungwa mkuu wa Magereza akampa nafasi nzuri (unyapara).

Mtoto mzuri hupewa upendeleo kuanzia chekechea mpaka university.

Hii sasa ndo akili ya ccm na mwenyekiti wake. Wote wanawazia masaburi tu kichwani empty
 
Ndio hawa wanaosema Kikwete ni rais handsome, kumbe kichwani ni bumunda tu
wewe mpuuzi tangu nchi hii ipate Uhuru ni Rais Kikwete ndiye aliyewatoa Watanganyika kwenye ufukara totoro.
Nyie wajinga hamna akili.
Dar es salaam hii imejengwa wakati wa Kikwete na wakati wa Magufuli ikasimama maisha ya wananchi yakasimama only flyover ndo zilijengwa. Kaja Samia ndo wananchi wameanza tena kupata maendeleo.
Wanajenga nyumba za kisasa, magari mazuri, biashara zinastawi
Yule tahira mnayemwabudu ska kibudu alikuwa anawarudisha Watanganyika kwenye ufukara wa 61
 
Huna akili
 
Mungu hakupi vyote na amini usiamini duniani hakuna mtu mwenye sura mbaya hata wewe labda na sura yako kuna wanaokuona sura mbaya kuliko. And have this in your mind, wenye sura mbaya wana heshima na wavumilivu hata kwenye maisha kuliko hao sura nzuri. Wao wakipendwa wanapata fahari ya moyo na kukuheshimisha wewe uliyemuoa au kuolewa ni kipao mbele kwao. Chunguza afu utanipa jibu.
 
Kama mke wa tatu Samuya sura mbaya,shape mbaya,akutuletea duniani sanamu baya linaitwa Wanu,Wanu naye atuletee Mixer ya mume wake mchenge toto lazima liwe na sura na roho mbaya tu.
 
Mada ina ukweli, pretty privilege is real. Nilisikitika sana nilivofahamu kuwa walimu by default wanawatreat watoto wazuri nicely kuliko wengine, ni kitu ambacho kilinisikitisha sana.

Unfortunately sio kila wazo lazima lisemwe ewe mleta mada. Maisha tayari yako complicated tusipende kuyaongezea ugumu.
 
Hakuna mtu mwenye pesa zake, elimu yake au resources zake atakubali kuoa mke au kuolewa na mume mwenye sura mbaya.

Siku hizi wasomi wapo kila kaya, ili utoboe kupata kazi ya maana lazima connection au reception/ sura nzuri maana kazi zile za mabavu sasa haziko nyingi na kama zipo hazina maslahi.

Sura nzuri ni kigezo muhimu sana kwenye kupata fursa dunia ya leo.
Mtu mwenye sura nzuri automatically kila mwanadamu hupenda kuwa karibu naye bila kujali jinsia yake.

Pambana uoe mrembo au uolewe na handsome muzae watoto wazuri.
Kilichomfanya Potifa amnunue Yusuph na kumweka ndani na si mashambani kama watumwa wengine ni sura nzuri. Hata alipofungwa mkuu wa Magereza akampa nafasi nzuri (unyapara).

Mtoto mzuri hupewa upendeleo kuanzia chekechea mpaka university.
KABLA HATUJAANZA KUTUJAANZA KUTUKANANA NIJIBU HILI SWALI 👇
Una kampuni yako ya sales na kuna mabinti 2 wamekuja kuomba kazi, wote wana elimu sawa, wote ni fresh ndo kwanza wamemaliza chuo mmoja sura ya babu mmoja sura ya malkia. Yupi utaanza kumfikiria kumpa ajira?
Watapambana.
 
Back
Top Bottom