Unajimu na Nyota : 29 October predictions

Lattafa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2025
Posts
498
Reaction score
730
Kuelekea 29 October.

Kwanza Je, Tanzania kama nchi nyota yake ni ipi?
26 April 1964, Tanzania ilizaliwa.
Baadani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hii inaifanya nchi, wananchi, uongozi wa juu kuwa na sifa za nyota Taurus /Ngombe.

Sifa zake kuu ni kupenda vitu vya thamani, ufahari, extravaganza , ustahimilivu, kiburi, Amani na Ulinzi wa kifedha, wazito wa kufanya maamuzi, waoga wa mabiliko ya haraka.Utajiri wa Asili, watoaji na si bahili.

Hivyo motto wetu wa "Uhuru na Umoja" sio bahati mbaya.
Kauli " Watanzania ni Waoga/Maiti " hii iko ndani zaidi kinyota maana sifa ya Taurus ni - kuogopa mabadiliko,
  • Maamuzi ya kinyonga(mf. Rasimu ya Katiba Mpya ina miaka 30+mpaka sasa) ,
  • Amani kwanza,
  • Mali kwanza na
  • Kula Bata na show-off

MATUKIO MAKUBWA 2025.

PLUTO KUINGIA AQUARIUS.
Pluto sayari ya Power, Utajiri, Mabadiliko, Kufa(mifumo ya zamani) na Kufufuka (mfumo mpya), Siri, Vuguvugu.
Sayari hii iko katika nyumba ya 11. Aquarius ambayo ina husika na Makundi ya watu, Teknologia, Uvumbuzi, Sayansi ya anga, Harakati na Nguvu ya umma.

Kuelekea 29 October , mabadiliko katika sekta ya teknologia na mamlaka za uongozi ni vitu vya kutazamiwa.

MARS KUINGIA GEMINI
Mars ni sayari ya vita, mabavu na matumizi ya nguvu. Inaingia katika nyumba ya 4. Gemini/Mapacha ambayo ina husika na mawasiliano, ubunifu, tasnia ya habari, fasihi.
Tukielekea tarehe 29, vita itakuwa zaidi au ipo zaidi katika majukwaa ya habari social media n.k.hii ni kutokana na mbabe wa vita kuwa katika nyumba ya Habari.Hii haiitaji ufafanuzi sana maana kina Mange, Polepole, Maria na Social media zote ni sehemu tu ya picha kubwa.

SATURN KUINGIA PISCES .
Saturn sayari ya uongozi wa juu, sheria, vizuizi na mamlaka, Inaingia nyumba ya 12. Pisces /Samaki ambayo sifa zake ni uwazi, huruma, spirituality , Imani, ndoto, muhanga kupigania wengine.
Kuelekea 29 October . Kutakuwa na mkingano kwa Saturn mamlaka na Pisces mtetezi wa Haki. Au kwa maneno mengine ushawishi wa Pisces utaongezeka na kuwa katika mifumo iliyonyooka na kisheria zaidi ili kufikiwa malengo.
Mfano halisi ni TAL na CDM ambao wanaonyesha kujitoa muhanga, hasa TAL na mamlaka kubakia na misimamo yao, Typical Saturnian trait na Activism kupitia mifumo kama mahakama.

TAHADHARI:
Mara ya mwisho Saturn kutembelea Pisces ni mwaka 1993 mpaka 1996.
Matukio makubwa yaliyotokea ni 1994 Nelson Mandela Kuingia madarakani na kuanguka utawala wa Makaburu, South Africa .Wahutu dhidi ya Watutsi wachache na, Mauaji ya Bosnia.
Na yaliyo tokea majuzi Malawi, Nepal, Bangladesh ni series tu ya influence ya Pluto ikiwa ktk Aquarius nyumba inayohusika na People's Power.

Kumbuka nyota ni Sanaa ya kusoma nyakati na Si sayansi kwamba Lazima matukio fulani yatokee. Ila mvua ikinyesha kingo za mto kujaa maji au takataka kusombwa si ajabu,na pindi mvua inapokatika maji nayo hupungua au kuwa safi.

Watanzania Taurus /Ng'ombe ambao ni wapenda amani na wazito wa madiliko(haimaanishi kutoku fanya mabadiliko kabisa) Je, Sayari nyingine na influence zake zinaweza kuleta chachu ya mabadiliko katika Taifa letu.?

Mwanafunzi wa Shekh Yahya.
 
Sijaelewa chochote pengine wataalamu zaidi waje.

Cc Mshana
 
Mwanafunzi wa Shekh Yahya.
Mwalimu wako alikuwa anatoa utabiri kwa lugha rahisi inayoelewela na kila mtanzania. Ningetamani na wewe mwanafumzi wake kutuambia kwa kifupi na kwa lugha rahisi nini kitatokea kuelekea na baada ya 29/10/2025
 
Attachments

  • IMG-20250615-WA0033.jpg
    IMG-20250615-WA0033.jpg
    32.6 KB · Views: 13
Astrology huwa inatumia nyota ya mashariki kuchambua Pluto kuingia aquarius.Kama nyota ya mashariki ni aquarius,aquarius iko katika nyumba ya 1 siyo 11

Kama nyota ya mashariki ni Scorpio, aquarius iko katika nyumba ya nne.

Pluto is a generational planet that shapes the larger trends of humanity.

Kwa millennials generation, aquarius inapata nguvu na ufanisi katika nyumba ya nne.

Nikisema "Peeeeeeeeeople's"
Millennials generation tunaitikia "Power".

#People's power.

Duh
 
Mtachonga sana
Tarehe 29 oct, kila mtu atatumia uhuru wake, then tusubiri matokeo yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom