Unajimu mwaka 2012

Unajimu mwaka 2012

Vipi nyota ya nyani ?
...Hii ni subdivision ya nyota ya sungura,cha muhimu inabidi uache ujanja wako kuruka huku na kule (kufisadi huku na kule) kuwa na mpenzi huyu au yule,inabidi ujifunze kutembea kwa miguu miwili na uishi kwenye mti mmoja tu.
 
duuh! mnajimu wetu ukimaliza nyota uhamie kwenye mbalamwezi!
 
Wale wenye anyota za kuku huu ndo mwaka wao wa bahati kwani itakuwa rahisi kwao kuishi bila presha kwani watakuwa wepesi kusahau vituko vya serekali mwaka huu.
Wenye nyota za panya wawe makini,kwani njia zao zote za vificho zitafunuka mwaka huu.
Wenye nyota za sungura aitakuwa si tofauti sana na panya ila ujanja wao pekee uliobaki ni kuvaa nguo za magunia kuonesha wanajutia ujanja wao wa mwaka jana la sivyo waame nchi,kama inashindikana waokoke.
Wenye nyota za risasi,mikuki na chui mwaka huu wataoa na kuolewa sana,au watapata wapenzi wengi sana cha muhimu wawe makini sana kwani tabia ya kujamihiana ovyo ovyo (chomachoma,toboatoboa au kurarua rarua) wawe makini wataukwaa sana ukimwi.
Wenye nyota za chura huu ndo mwaka wa kurukaruka kamwe usioe au kuolewa mwaka huu kwani utapata wapenzi wengi wa risasi,mkuki na chui.Taadhali inabidi muweke oda ya kondom kiwandani kwa mwaka huu.
Hayo machache tu,kama unataka kufahamu kuhusu nyota yako uliza .

Niambie na mm nyota yangu Mbuzi
 
Back
Top Bottom