Unajiita mwanaume halafu una mwanamke mmoja??!!

Sitaki hta poteza muda hapa. Mwanaume kama umekamilika mwanamke mmoja hakutoshi kabisa nakazia mwanamke mmoja hakutoshi hili halina kupinga labda uwe na matatizo.

Mwanaume hautakiwi kulazimisha game akiringa vuta mwingine fasta huu ndo uwanaume. Mwanaume aliekamilika ana wanawake wengi hata dada zetu wanajua hilo. Nakazia tena wanawake wengi.NAKAZIA

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni ishara ya kukosa ukomavu wa akili. Pole sana kijana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmefaidika vingi sana juz tu hapa nmehongwa iphone 8+ baada ya kutoa show heavy so mchezo. Wapo wanaonihonga na wapo nao honga piaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
duuh kwa hiyo unajiuza sio??? juma lokole ni wengi aisey
 
Sitaki hta poteza muda hapa. Mwanaume kama umekamilika mwanamke mmoja hakutoshi kabisa nakazia mwanamke mmoja hakutoshi hili halina kupinga labda uwe na matatizo.

Mwanaume hautakiwi kulazimisha game akiringa vuta mwingine fasta huu ndo uwanaume. Mwanaume aliekamilika ana wanawake wengi hata dada zetu wanajua hilo. Nakazia tena wanawake wengi.NAKAZIA

Sent from my iPhone using JamiiForums
MWANAUME WA UKWELI ANABAKIA NA MWANAMKE MMOJA
YESU ALIKUWA SINGO MPAKA ANAKUFA
 
Back
Top Bottom