Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,419
- 100,666
Sema hivi, unajiita "Kidume Halafu huna project hata ya kufuga Simblisi tu?? "
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, unaowaongelea ni WAVULANA sio WANAUME.Sitaki hta poteza muda hapa. Mwanaume kama umekamilika mwanamke mmoja hakutoshi kabisa nakazia mwanamke mmoja hakutoshi hili halina kupinga labda uwe na matatizo.
Mwanaume hautakiwi kulazimisha game akiringa vuta mwingine fasta huu ndo uwanaume. Mwanaume aliekamilika ana wanawake wengi hata dada zetu wanajua hilo. Nakazia tena wanawake wengi.NAKAZIA
Sent from my iPhone using JamiiForums
😀😀😀😀😀👊Pamoja Mkuu maendeleo hayana chama
Sent from my iPhone using JamiiForums
Santhe mkuu,,maendeleo hayana chama,, pia huwezi kuwa adui kwa kusema Ukweli!!Hao wanaojifanya kuwa na mke mmoja wamejaa tele makanisani,,Ukiwaona kama watu,,lkn huko nje wamezaa na dada zetu hawataki kujulikanawengi
"Sikiliza maoni na mitazamo yao lakini hatimaye fanya maamuzi yako sahihi -Jim rohnSitaki hta poteza muda hapa. Mwanaume kama umekamilika mwanamke mmoja hakutoshi kabisa nakazia mwanamke mmoja hakutoshi hili halina kupinga labda uwe na matatizo.
Mwanaume hautakiwi kulazimisha game akiringa vuta mwingine fasta huu ndo uwanaume. Mwanaume aliekamilika ana wanawake wengi hata dada zetu wanajua hilo. Nakazia tena wanawake wengi.NAKAZIA
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23]Inashangaza watoto alikua nao wawili sijui watatu.... Sijui alitumia mbinu gani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hao wengi hakikisha una singo maza hapo......huyu anytime available nyege zikikujaaSitaki hta poteza muda hapa. Mwanaume kama umekamilika mwanamke mmoja hakutoshi kabisa nakazia mwanamke mmoja hakutoshi hili halina kupinga labda uwe na matatizo.
Mwanaume hautakiwi kulazimisha game akiringa vuta mwingine fasta huu ndo uwanaume. Mwanaume aliekamilika ana wanawake wengi hata dada zetu wanajua hilo. Nakazia tena wanawake wengi.NAKAZIA
Sent from my iPhone using JamiiForums
Baadhi,Kama mumeo Ni shoga usifikiri kila mwanaume yupo hivyoNguvu zenyewe hamnazo, kwani betri haikai na chaji, ukipiga, hata kabla haijaunganisha imekata moto. Mmebaki kuishi kwa huruma za wauza miti shamba ili kubusti hiyo betri, sasa mnajinadi huku?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Katika hao wengi hakikisha una singo maza hapo......huyu anytime available nyege zikikujaa
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe mwenye zaid ya mmoja umefaidika nn kiuchumi,kiafya,kijamii na kiheshima??Sitaki hta poteza muda hapa. Mwanaume kama umekamilika mwanamke mmoja hakutoshi kabisa nakazia mwanamke mmoja hakutoshi hili halina kupinga labda uwe na matatizo.
Mwanaume hautakiwi kulazimisha game akiringa vuta mwingine fasta huu ndo uwanaume. Mwanaume aliekamilika ana wanawake wengi hata dada zetu wanajua hilo. Nakazia tena wanawake wengi.NAKAZIA
Sent from my iPhone using JamiiForums
Well said kama ndivyo unavyoishi na Mungu atakupigania usiguswe na mwovu shetani kwaani wewe ni chumvi ya ulimwengu. Good luckIla ujue kwamba magomvi,shida,taabu,magonjwa havitakuwa mbali nawe...na hao wanawake lazima utasaidiwa tuu na njemba zingine hawatakubali kuwekwa foleni wakusubiri ww uzungukee wee wao watulie tuu kama maji ya mtungi,.
NB:Kama unaona hakuna mwanaume wa pekeako basi jua pia hakuna mwanamke wa pekeako...ila kwetu sisi wenye imani zetu za kuamisha milima[emoji1][emoji1]tunaamini katika mwili mmoja na ndio vivo hivyo inavyokuwa.
Eimeen🙏Well said kama ndivyo unavyoishi na Mungu atakupigania usiguswe na mwovu shetani kwaani wewe ni chumvi ya ulimwengu. Good luck
Sent using Jamii Forums mobile app