Katika hao wengi hakikisha una singo maza hapo......huyu anytime available nyege zikikujaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimaliza kukazia nipe na mimi spanner nikazie huku
ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
Santhe mkuu,,maendeleo hayana chama,, pia huwezi kuwa adui kwa kusema Ukweli!!Hao wanaojifanya kuwa na mke mmoja wamejaa tele makanisani,,Ukiwaona kama watu,,lkn huko nje wamezaa na dada zetu hawataki kujulikana
Mkuu, unaowaongelea ni WAVULANA sio WANAUME.
wewe mwenye zaid ya mmoja umefaidika nn kiuchumi,kiafya,kijamii na kiheshima??
ni mpumbavu maskini anayejivunia wanawake wengi
We naee muhunii tuu huna loloteeSitaki hta poteza muda hapa. Mwanaume kama umekamilika mwanamke mmoja hakutoshi kabisa nakazia mwanamke mmoja hakutoshi hili halina kupinga labda uwe na matatizo.
Mwanaume hautakiwi kulazimisha game akiringa vuta mwingine fasta huu ndo uwanaume. Mwanaume aliekamilika ana wanawake wengi hata dada zetu wanajua hilo. Nakazia tena wanawake wengi.NAKAZIA
Sent from my iPhone using JamiiForums
Proudly and confidently yes
Wee una mb** ngapi?Kwani mmoja wa nini?
Mkuu, huwa unanichanganya sana, unaweka mkazo sana kwenye huu ugonjwa asee...
Unawafundisha dada zetu tabia mbayawanaume tunahitaji demokrasia
kama ilivyo kwa nchi yetu inavyohitaji vyama vingi japo mke mkuu (ccm) hataki michepuko (upinzani) ila lazima akubaliane na hali la sivyo ataondolewa
hata wanaume ukiwa nao watatu wanne hivi ni nzuri kwa afya utachokosa kwa huyu utapata kwa yule
bado hujakamilika wewe......