Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,766
- 4,048
Hakuna mshind hapo ngoma ni draw
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nguvu zenyewe hamnazo, kwani betri haikai na chaji, ukipiga, hata kabla haijaunganisha imekata moto. Mmebaki kuishi kwa huruma za wauza miti shamba ili kubusti hiyo betri, sasa mnajinadi huku?