Unajihisije? ulishawahi jiuliza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unajihisije? ulishawahi jiuliza?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kimbweka, Aug 28, 2012.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hivi ikatokea wapenzi wako wa zaman wanaoa na kuolewa, halafu wewe hujaoa au kuolewa. Unajiskiaje? ulishawahi kujiuliza kwanini.............?
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Hali hyo nimeshaizoea,
  hvyo naona kawaida tu.
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Unaona kawaida, ila lazima unahisi kitu...!!!
   
 4. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Sasa Kimbweka nitafanyaje?
  Kama ndoa ndio imeshafanyika na kwangu haitawezekana tena.
  Labda nibaki hawara tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ndio inauma sana.
  Ila nyie wanaume mna makosa sana,
  kwa nini usimwambie huyo mwanamke kuwa hautamuoa?
  Kawaacha wangapi wenye nia mpaka kakusubiri wewe?
  Na mwisho wa siku unamuacha kisha unaoa gal mwingine?
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  kwani kuoa au kuolewa mashindano???
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hapo sasa!!!!!
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kuna sehemu tunafanya makosa bila kujijua both sides...!!
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hakuna Shindano, Maana zawadi ingetangazwa.....!!
   
 10. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Basi ndivyo hvyo hvyo nyie wanaume mtakavyochomwa moto siku za mwisho.
  Ila ni nzuri kwani mnatufunza maisha ya pili ya dunia.
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hahaha ngoja ije kuwa kinyume chake maana hata wanawake/wasichana huwatosa wenzi wao wa kiume na kukimbilia kwa mwingine......!!!
   
 12. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Lakini nyie idadi ydnu inatisha Mazee!!
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wewe hujawahi kuacha?a.k.a kupiga kibuti?
   
 14. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  alinipiga tukiwa shule, mawivu yalikuwa yamepitiliza, nikachukia nikaachana naye, kumbe alikuwa bado ananipenda, nikapata mwingine ambaye ndiye hubby, akasikia naolewa miezi 6 baada ya kuachana naye, hakuamini, alikuja hm kwetu siku ya sendoff, acha afanye fujo na kutangazia kwa ndugu zangu kuwa mimi ni mkewe hata iweje, baada ya kufunga ndoa tu, alikwenda nje US na kuapa hatakaa arudi tanzania, cku akirudi atakuwa amerudi kumchukua mkewe ambaye ni mimi. hajaoa mpaka leo! sikujua kama inauma hivyo!!!! ila ndio hivyo tena haikupangwa mimi ku-last naye!
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  cacico sijakata tamaa bado
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Nilishapiga sana vibuti wanaume,
  tena dk za majeruhi,
  1. Siku ya kuvishwa engage ring,nikamkataa

  2. Siku ya kutambulishwa ukweni

  3. Kanisani mbele ya Padri.
  Chezeiya...!!!
  Watatu hao na bado nitaendelea ili nijiridhishe nafsi yangu.
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  we mkare Madame B. . .
  cacico shost, ulimnyoosha make wanatuoneaga sana hawa viumbe!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Yani ni mwendo huohuo mpaka Mfumo dume ukae sawa.
  Tena bora umuulize cacico maana yule muzee wao cjui kawaje.
  Eti napima oil...,
  we Kimbweka mnaudhi sana nyie vidume.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Aisee!

  "the problem is not you! the problem is him understanding you!"
   
 20. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ngoja utapatiwa tu we subiri....!!!1 tena ukiwa mjamzito...!!
   
Loading...