Unajihisije? ulishawahi jiuliza?

Unajihisije? ulishawahi jiuliza?

Nashangaaa!!!
Hv kiuhalisia Jdg unaweza kumuota mtu ambaye hata humfahamu kwa sura?

Hilo walau linawezekana na si shangazo sana as such !
Mtu awezamuota asiyemjua for image from unkwnown source!
Shangazo ni hili - A born's blind person nae huota various dream ! Mf. Anaweza kumuota Twiga, Paka, Tembo, Mtu, Bahari n. k n.k sasa jiulize everthat person give berth hajaona hizo images anazodream where's come from?
Hebu think deeply inakuajekuaje? Hii ndo miracle !
 
Usikute tulianzana na wewe ohoooooo....!!!

Akhu,
uanzane na nani?
Mimi B/F wangu wa kwanza alikuwa Bruno Mars enzi hzo tunakaa kota za NHC Upanga.
Ndo akapata zali la kwenda Unyamwezini,
 
Hilo walau linawezekana na si shangazo sana as such !
Mtu awezamuota asiyemjua for image from unkwnown source!
Shangazo ni hili - A born's blind person nae huota various dream ! Mf. Anaweza kumuota Twiga, Paka, Tembo, Mtu, Bahari n. k n.k sasa jiulize everthat person give berth hajaona hizo images anazodream where's come from?
Hebu think deeply inakuajekuaje? Hii ndo miracle !

HAPANA.
Itakuwa huwa wanaambiwa kbs uhalisia wa maumbo ya hao wanyama au hzo Nature.
Kwa upande wangu haiwezekani kuamini hata kidogo.
 
Mi niko kwenye kundi la wakaguzi tukiongozwa na Asprin
Ewaaaaaaaaaaaa!!

Usilete zako wakati kuna wengine wamekuja na umeshindwa kuwakagua.
Eti unaogopa.
Aogope nini wakati nlishamfundisha kutumia dawa ya kuondoa woga?

t1larg.marian.wethouse.cnn.jpg
 
Mdogo wako anakuita huko,
amekwama mahala.
Anakuita pamoja na Erickb52 mukamsaidie.
Don't drink and Drive.

drink RESPOSIBLY
Hili ndilo tangazo ninalolijua...
ilo la dont drink and drive...kwa nini bar zina PARKING?
 
Akhu,
uanzane na nani?
Mimi B/F wangu wa kwanza alikuwa Bruno Mars enzi hzo tunakaa kota za NHC Upanga.
Ndo akapata zali la kwenda Unyamwezini,

Unshansahau kumbe ndo maana nakuambia ulishawatema wengi hata hukumbuki .....hahahahaha
 
Back
Top Bottom