haha..kuna mwanahip-hop wa bongo aliimba...(waliniibia 3310 sasa niko na blue one, wamenitoa Finland sasa niko japan,) enzi hizo Tigo inaitwa BUZZ..wazaz wakiweka vocha basi unapewa uende nayo dukani. long kidogo
kipindi hicho ni buzz na celtel inaingiaingia hata.vocha zilikua kwenye vikaratas kama unavopata ukiangalia balance Atm au zile tunazotumia kwenye EFD. au luku.ukipewa vocha unaambiwa ficha ee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.