MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Tunasonga kwa mwendo wa
farasi au kinyonga/
kwa kunyongwa au risasi
maasi yanatuzonga/
tunasonga kwa mwendo wa
farasi au kinyonga/
tunasonga kwa vitendo
karatasi au kuchonga.
farasi au kinyonga/
kwa kunyongwa au risasi
maasi yanatuzonga/
tunasonga kwa mwendo wa
farasi au kinyonga/
tunasonga kwa vitendo
karatasi au kuchonga.