Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Kwa wale ambao wapo kwenye uhusiano iwe wa kimapenzi au ndoa wana kumbukumbu ya ile siku ya kwanza ambayo walianza kuonana na mmmoja wao kuanza kumsemesha mwwenzake [mara nyingi ni wanaume] na hatimae kuwepo kwenye uhusiano waliopo leo
Leo nairudusha dunia nyuma hadi siku hiyooooooooooo.....!!!!!!!!!!
Leo siyo vibaya ukakumbusha ile siku yenu ya kwanza kuonana au kukutana
Je unakumbuka ilikuwa wapi?
Je unakumbuka siku jamaa alipoingiza "vesi"
Unakumbuka siku ulipoanza kumfukuzia?
Vip unajisikiaje?
Alipokuambia lengo lake ulijisikiaje?
Moyo ulikufa ganzi au??
Leo mko pamoja hebu shea nasi namna jamaa alivyoteseka hadi kukupata
Hebu shea nasi jinsi kijana ulivyosota hadi kumpata
Unakumbuka siku ya mtoko wenu wa kwanza?
Hebu tuambie namna ulivyojisikia siku hiyo
Ilikuwa Heaven on Earth au siyo
Hebu jipongezeni bana
Unaikumbuka siku hii ya kwanza??
Ulijisikiaje??
Huu ni wakati wako kushea nasi nyakati hizi murua kabisa kwenye maisha yako na ni wakati wa kujipongeza pia
Hongereni sana na mpendane milele....!
Kwetu sisi tulio single tuumie tu hapa ....lol!!!!!!!!!

Last edited by a moderator: