Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Ni movie/serie gani?
Ni movie/serie gani?
kina wukong, shibo na bajie ilikuwa inapendwa sana kuonyeshwa ITV!
hehe monkey hiyo dia mwenyewe hata kanisani nilikuwa siendi,ilikuwa inarushwa kipindi cha watoto kila jumapili asubuhi saa 3.
This was one of the best movie series ambayo niliipenda, ninaipenda na nitaendelea kuipenda hadi mwisho wa uhai wangu. Yaani ilikuwa niko radhi nisile ili mradi niangalie hii movie na ilikuwa ukitaka kugombana na mimi tu wewe nikataze kuangalia hii movie utaona mziki wake. Sio siri hii movie iliuteka sana moyo wangu. Sijui kwako wewe mdau, unaichukuliaje movie hii??
hehe monkey hiyo dia mwenyewe hata kanisani nilikuwa siendi,ilikuwa inarushwa kipindi cha watoto kila jumapili asubuhi saa 3.
Ilikuwa inaonyeshwa ITV inaitwa Journey to the West
Yep ilikuwa mahali pake na namwona na shivwa hapo
Wewe kama mimi...Sikuwahi kuiona au hata kuisikia kabla ya leo. Inachekesha?
Sikuwahi kuiona au hata kuisikia kabla ya leo. Inachekesha?
Wewe kama mimi...
Ntakuja unipe niangalie. . . niambie tu pakukuta.Kama hujawai kuiona wala kuisikia pole sana maana hujui uhondo unaokosa. Ni mixture, inachekesha kuna uchawi na action at the same time. Kama hujaiwahi kuiona njoo nikupe series moja au nikupe trailer yake uiangalie
Kama hujawai kuiona wala kuisikia pole sana maana hujui uhondo unaokosa. Ni mixture, inachekesha kuna uchawi na action at the same time. Kama hujaiwahi kuiona njoo nikupe series moja au nikupe trailer yake uiangalie
hehe monkey hiyo dia mwenyewe hata kanisani nilikuwa siendi,ilikuwa inarushwa kipindi cha watoto kila jumapili asubuhi saa 3.
Waombe ITV wairudishe. Saga hiyo ni sehemu ya mythology ya China. MONKEY King, Baijii the pig na Teacher wao.
Inamaana na wewe ulikuwa mtoto? Natania tu kwani hata mimi ninaipenda.