donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
[emoji2][emoji2][emoji2]
Dah kitambo sana ila inanijia alafu inanitoka kichwani, nikumbushe.
Mimi h zilikuwa zinazagaa mwezi mzima
Kivipi?Ujinga
Hivi kwani miaka hii mashuleni hazipo Tena?kama ulitumia hii attendance na bado uko kwenu aiseee nenda kwa mwamposa
Hahaha, Bora M - mgonjwa [emoji23][emoji23][emoji23]Daftar la mahudhurio, ukipigwa H umeisha[emoji4]
Ulikua doja suguMimi h zilikuwa zinazagaa mwezi mzima