Unaijua gari ya Billion 5?

Unaijua gari ya Billion 5?

Inamaana hiyo gari ukiiuza unanunua nusu ya majengo ya zile hostel mpya wanapaita mjengoni siku hizi....
Si zimekost 10b
 
Katika Sports Cars zote huyo ni mnyama mmoja hatari sana... Haitaki shobo alafu siti mtu mbili tu...

Ukiwa na hiyo gari wala hata huitaji mbio.. Mdogo mdogo tu... Popote utakapopita lazima uache gumzo... Na usishangae trafiki akakupiga mkono na kusema embu kaa kulia kwanza nikusogeze mpaka pale...
 
Hiyo na bugatti veyron ipi kali
 
Bugatti Chiron

AAo4puw.img
Wendawazimu wa binadamu! Basi nikadhani lina Bluetooth na memory card halafu naweza kulala nalo kitandani[emoji3] [emoji15] [emoji144]

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo na bugatti veyron ipi kali
Hii wameongeza space ya ndani.. Ni kubwa zaidi ya veyron.. Hii milango inafunguka kawaida veyron inafungukia kwa kwenda juu...

Hii wamerahisha vitu vingi.. Veyron ipo complicated kidogo to many buttons to press...
 
Hizi kontena nne za viroba nikifanikiwa kuzimaliza bila kuletewa vigisu navuta kabisa kitu kama hicho.
Nikopeshe mzigo huo nipunguze kuzisoma namba🙂 🙂 🙂😀😀
 
Hii wameongeza space ya ndani.. Ni kubwa zaidi ya veyron.. Hii milango inafunguka kawaida veyron inafungukia kwa kwenda juu...

Hii wamerahisha vitu vingi.. Veyron ipo complicated kidogo to many buttons to press...
I don't need that one!
 
Back
Top Bottom