Unaijua gari ya Billion 5?

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,277
15,522
Bugatti Chiron

AAo4puw.img
 
Aisee kiukwel ni kagharama sana lakin hakajanivutia kutkan na kalivyo kdgo,,,na barabara zetu za madimbwi kataumi sana
609f602728d6cf9924b10bfcc0cd3ddd.jpg
ebf2ec3557ab15d027292dc2fd1db16c.jpg


Naikubali hii zaid
 
Hiyo speedometer inaonyesha waweza endesha hadi 500km/hr.... hata nusu ya hizo kwa barabara zetu haufikishi... engine itakuwa under-utilized!...
 
Kuna jamaa ilimshinda nguvu akadumbukia nalo majini.
Hili sio gari la utani bora kuliangalia tu kwenye picha
 
Back
Top Bottom