Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.

Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?

Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.

Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .

Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji Savoy na master yake full set ya Suzuki Escudo 3doors 1994
 
BUMPER LA.MBELE LINATAKIWA LENYE FOG LIGHT HALAFU NI VITS RS YA MWAKA 2004
Front bumper :350,000/=
Show:150,000/=
Headlamp:170,000/=
Bonet :300,000/=
Condenser:120,000/=
Rejeta:150,000/=
Engine mounting:70,000/=
Gearbox mounting:70,000/=
Feni :100,000/=
Bampa lamp :80,000/=
Washer tank:85000/=
Windscreen:140,000/=

Sent using Jamii Forums mobile app

K vant
 
Back
Top Bottom