Cv joint subaru legacy SW mnazo? Na ni bei gani?Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.
Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?
Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.
Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .
Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipigie 0658124554Hii haipungui?
550,000/=Bamba la ist la mbele linaendaje. Bi dada anayehitaji yuko dah
Asante sana mkuu ,nitajitahidi kuendelea kuwapatia huduma nzuriMaster of the game again!!!! Kaka uko vizuri sana, thread yako ya "wapenzi wa magari mazuri" naifuatilia mwanzo mwisho......
50,000/= kwa zoteWind shield ya IST inaenda Tsh ngp?
Inakua na alternater , compressor, starter na water pump.Mkuu engen ya 7a fe mnauzaje? na inajumuisha nini na nini ikiwa complete.
Mkuu engine ya Nissan Extrail ni sh ngap boss wangu je inakuja na nini na nini?Inakua na alternater , compressor, starter na water pump.
Bei ni Milioni 1.8
Je vvti sensor ya 1NZ inaweza fit kwenye 2NZ?70,000/=
2AZIpo kwenye engine gani mkuu
300,000/=Bampa ya mbele ya Premio old model nyeupe ni bei gani.
Ina fit lakini haita sense vizuri, ni bora uchukue tu ya 2NZ bei ndio hiyo hiyoJe vvti sensor ya 1NZ inaweza fit kwenye 2NZ?
170,000/=