Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Bro habari.
Hivi mbona vifaa vya magari vinakuaga bei kubwa sana? Kakitu kadogo tu bei kubwa. Sababu hasa huwa nini.

Kweli hakuna mfanyabiashara akaja na strategy ya kuviagiza na kuuza bei cheap akapiga hela mpaka akazikimbia?
Vya bei nzuri kabahatishe Tandale, vipo kibao maana wanachinja gari za ajali bado mpya ukibahatisha
 
Bro habari.
Hivi mbona vifaa vya magari vinakuaga bei kubwa sana? Kakitu kadogo tu bei kubwa. Sababu hasa huwa nini.

Kweli hakuna mfanyabiashara akaja na strategy ya kuviagiza na kuuza bei cheap akapiga hela mpaka akazikimbia?

Ndio maana kutembelea matako ni heshima.
 
RAV 4 Nusu Mkate ya 98

Taa ya Mbele Upande wa kulia
Taa ya nyuma upande wa Kushoto
Kioo cha Nyuma
Vioo vya pembeni
Kioo cha Mbele upande wa dereva

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom