mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.
Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba hutohitaji kufanya kazi tena? Na kama inawezekana, ni kiasi gani cha fedha kinahitajika?
Anatuuliza kama anazo hizo hela za kutupa!..😅Haiwezekani bana, acha kutusumbua.
mnaofanya kazi ikulu mbona mnakua na hasira hivi🙂Haiwezekani bana, acha kutusumbua.
Halmashauri siku hizi ndio mnaita ikulu 🙂mnaofanya kazi ikulu mbona mnakua na hasira hivi🙂
Kabla ya kutugawia angekuwa ameshaacha yeye akifanyacho 🤣Anatuuliza kama anazo hizo hela za kutupa!..😅
Iko poa hiyoBillion moja na kuendelea
Mchanganuo
Gvt bond
Faida approximately 120m annually equivalent to 10M monthly
Hapa utakaa popote Tanzania na utakula milo yote muhimu na hela ya kusaidia shida za hapa na pale
usisahau kuweka zaidi ya million 200 kwenye government bondsBillion moja na kuendelea
Mchanganuo
Gvt bond
Faida approximately 120m annually equivalent to 10M monthly
Hapa utakaa popote Tanzania na utakula milo yote muhimu na hela ya kusaidia shida za hapa na pale
pale dubai kuna lijamaa linaishi hivi hivi kama ww unavyotamani.Technically i need a minimum of 5 million dollars.
Twende taratibu, hyo 5M nkiiweka fixed at a minimu of 5% return per annum nna uhakika wa kupata 41 Million tanzanian shillings per month.
Ukitoa max. Kodi ya 20% nabaki na 32.8M approximately 33M.
Therefore per day nna uhakika wa kuspend about 1M bila kuyumba.
Niendelee na uchambuzi au niishie hapa hapa??
ww ni mtu mzito bhana ,,,Halmashauri siku hizi ndio mnaita ikulu 🙂
Aache alale njaa,aumwe madonda ya tumbo afe...Kabla ya kutugawia angekuwa ameshaacha yeye akifanyacho 🤣
Truuee..pale dubai kuna lijamaa linaishi hivi hivi kama ww unavyotamani.
umeiweka vzuri...Truuee..
I think the whole point ya mshamba_hachekwi ni kuona jinsi ya kuishi bila kufanya kazi.
Personally i dont think kama ntaamua kuishi dubai. The more unavoongeza expenditure ndo the more unavozidi kuwa maskini kama hauna vyanzo zaidi.
Ni heri nkaishi hapa hapa lakn kwa starehe kubwa maana maisha haya hatiishi milele.
Kwenye hyo monthly ammount nkisave tena naweza kwenda huko dubai vacations kila nikihitaji
(Mtazamo wangu)Ukiwa na hela uwezo wa kujifunza unakua unlimited maana unakua huna wasi wasiKufanya kazi kunatufanya tujifunze vitu vingi sana,
Lkn hapo sijaelewa hoja yako, unamaanisha watu waache kuajiliwa au wasifanye kazi kabisaaa yaani awe ni mtu wa kutumia tu,
Ikiwa utakuwa mtu wa kutumia tu jua unapitia changamoto nyingi kama, minyama uzembe, maradhi ya moyo, nk
Kama ili mtu aache kuajiliwa hapa kila mtu ana kiwango chake kutokana na maisha halisi au malengo yake. Mfano mm nikipata milion 20 ninaacha hii kazi kuna bishara ninakwenda kufungua
Indeed.umeiweka vzuri...
unahamaje nchi ambayo mtu anayelipwa kuanzia million 1 kwa mwezi anakula maisha hvyo............