Mwananchi Mwandamizi
Member
- Sep 27, 2015
- 57
- 52
Habarini wapendwa
Napenda kuchukua nafasi hii; ili kuwasilisha taarifa za mpendwa hapa chini.
"Mimi ni kijana wa kiTanzania mwenye umri wa miaka 45, nina uzoefu was zaidi ya miaka 5 katika udereva wa magari.
Ninamiliki Driving License Class E.
Najitokeza kwenu kwa ajili ya kutafuta nafasi ya UDEREVA katika taasisi au kwa mtu binafsi.
Historia yangu kiutendaji ni nzuri na isiyo na shaka, sikuwahi kusababisha ajali katika utumikiaji wangu.
Ninapatikana mkoani Dar es Salaam, mawasiliano yangu ni 0712 600043.
Natumai ombi langu litazingatiwa.
Ahsanteni.