Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,823
Ukipata nauli hommie, kuna mbuzi wa shughuli kashaingia mitaa ya tegeta.
dah,,,,senks kiongozi kwa kujali maslahi! mbona simwoni shemeji yangu humu?
Ukipata nauli hommie, kuna mbuzi wa shughuli kashaingia mitaa ya tegeta.
mbona unanifeel wakati unajua mimi ni mume wa mwanamke mwenzio?Mie nam-feel sana INVISIBLE.
mbona unanifeel wakati unajua mimi ni mume wa mwanamke mwenzio?
siku hizi mialiko inatolewa KINAMNA NAMNA.bahati mbaya kwako kwamba ninapajua mahala...!kibaya zaidi ni kwamba ''katibu mkuu'' ananifahamu.nitakuja bila kupiga simu
hahaha ngoja niirudie sredi nzima sasaGeoff kumbe weye ndo invizible ..hahaha lakini hujui Carmel anafeel kwa namna gani
..hakuna Mbaya
Hivi taratibu za talaka zikoje? Hebu angalia hapo chini shemejio anamfeel nani......dah,,,,senks kiongozi kwa kujali maslahi! mbona simwoni shemeji yangu humu?
!!!!!!Mie nam-feel sana INVISIBLE.
Mie nam-feel sana INVISIBLE.
mbona unanifeel wakati unajua mimi ni mume wa mwanamke mwenzio?
kesi ya makamba ni rahisi kui-handle.takuwa na RED-WINE YA BOX PALE...!tunajadili kesi huku kimiminika chekundu kinaendeleaKuku wako mwenyewe manati ya nini?
Kwanza una kesi kubwa ya kujibu kwa Makamba!
Hivi taratibu za talaka zikoje? Hebu angalia hapo chini shemejio anamfeel nani......
!!!!!!
"Nenda kwa Amani Kijana. Huna kesi ya kujibu" Atasema Makamba.kesi ya makamba ni rahisi kui-handle.takuwa na RED-WINE YA BOX PALE...!tunajadili kesi huku kimiminika chekundu kinaendelea
Inategemea kosa na kosa hommie.Hommie, kosa MOJA haliacchi mke! do ze nidiful
Inategemea kosa na kosa hommie.
Kuna makosa mengine hata talaka haifai bali ncha ya upanga.
hapo umekomplai na ratiba ya mpwaaz orijinale!twende kazi."Nenda kwa Amani Kijana. Huna kesi ya kujibu" Atasema Makamba.
Then tunavuka barabara tunakaa kaunta Etienez huku tukiiteketeza valuu. Makamba na Mshiki watafuata baadaye.
Baadaye tukutuku vruuuuuum! Breki ya kwanza Chawoteeeeee!
Tufanye mkeo ni The Masaki-Makambako wonder of the wedding. We unajua yuko kwenye unajimu........ Lakini...................Unamkuta na Fidel ndani ya Usalule........... Ah! Ngoja tuishie hapo.e.g,......
Geoff kumbe weye ndo invizible ..hahaha lakini hujui Carmel anafeel kwa namna gani
..hakuna Mbaya
Tufanye mkeo ni The Masaki-Makambako wonder of the wedding. We unajua yuko kwenye unajimu........ Lakini...................Unamkuta na Fidel ndani ya Usalule........... Ah! Ngoja tuishie hapo.