Unahisi kumpenda nani hapa JF?

siku hizi mialiko inatolewa KINAMNA NAMNA:D:D:D.bahati mbaya kwako kwamba ninapajua mahala...!kibaya zaidi ni kwamba ''katibu mkuu'' ananifahamu.nitakuja bila kupiga simu

Kuku wako mwenyewe manati ya nini?

Kwanza una kesi kubwa ya kujibu kwa Makamba!
 
kesi ya makamba ni rahisi kui-handle.takuwa na RED-WINE YA BOX PALE...!tunajadili kesi huku kimiminika chekundu kinaendelea:D:D:D
 
"Nenda kwa Amani Kijana. Huna kesi ya kujibu" Atasema Makamba.

Then tunavuka barabara tunakaa kaunta Etienez huku tukiiteketeza valuu. Makamba na Mshiki watafuata baadaye.:D:D

Baadaye tukutuku vruuuuuum! Breki ya kwanza Chawoteeeeee!
 
hapo umekomplai na ratiba ya mpwaaz orijinale!twende kazi.
 
e.g,......:D
Tufanye mkeo ni The Masaki-Makambako wonder of the wedding. We unajua yuko kwenye unajimu........ Lakini...................Unamkuta na Fidel ndani ya Usalule........... Ah! Ngoja tuishie hapo.
 
Mkulu hili ni tatizo LA KITAIFA....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom