Unahisi kumpenda nani hapa JF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mokoyo, Mar 20, 2010.

 1. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mapenzi ni mchanganyiko wa mambo na masuala mengi sana ikiwa ni pamoja na maneno ya kutamka na kuandika, zawadi, na mambo mengine mengi. Kama ndivyo wewe member wa JF ni nani unayehisi kuwa kwa maneno na uandishi wake anaweza kuwa mtu wa karibu kwako na akakupa furaha fulani?
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  hapa italeta ugomvi tu.....take it from me...
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,815
  Trophy Points: 280
  Kama wewe ni she, mi nakuchagua wewe. Ila kama ni he.......... am sorry!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  I love every MEMBER OF jf, na post zao wote zinanifurahisha ajabu!I cant imagine loosing a single member!
   
 5. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #5
  Mar 20, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  -Sijui nimtaje,ila je kama ana mtu si itakua utata hapa teh teh teh!
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,815
  Trophy Points: 280
  Unaogopa nini sasa.

  Mi namhusudu BWABWA.
   
 7. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  I love many members and most of them are women.. shhhhhhhhhhhhhs am straight...
   
 8. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kaizer, Kwanini ilete ugomvi? Kivipi?
   
 9. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  eeeh!
   
 10. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkubwa PJ, sio kiivyo wewe ulivyojibu, sio lengo la mada yangu, namaanisha kupenda japo kwa mtu mmoja kutokana na maandiko yake
   
 11. Sydney

  Sydney Senior Member

  #11
  Mar 20, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuseme ukweli tuu jamani kwani tunaonana uso kwa uso? Wakati mioyoni mwetu tunafahamu sana kuwa mtu unapoanza kusoma alichochangia fulani na fulani unajua kabisa nani na nani wanaokuvutia kwa hoja na mawazo yao kila uingiapo humu JF. Mimi niko wazi kabisaaaaaaa, nawapenda wote lakini kuna wanaonifurahisha sana humu nao ni.. FL1 na KAIZER... ningekuwa na uwezo wa kuwaona live kweli ningeandaa kiti moto kama wanatumia basi tungeila pamoja na kubadilisha nao mawazo!
   
 12. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ndio mapenzi hayo ndugu husishangae Xpin kadondokea hapo kwa mujibu wa maandiko yake mwenyewe
   
 13. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mimi nawapenda wengi,
  Pearl, Cheusi mangala, Maria Roza!
   
 14. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145

  Nampenda kila mmoja kwa kiwango chake, kwa aina yake, na sababu yake. Kupotea kwa hata mmoja ni pigo kubwa sana kwangu.
   
 15. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Nionapo maandiko ya Charity napata kiwewe sana
   
 16. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Umempa jamaa sorry ukimaanisha wewe ni she na tayar una mtu wako au?!

  Niwie radhi kama nimekukwaza
   
 17. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  ni yupi hasa anayekupa hamasa na kimuwe muwe kwa uandikaji wake wa posts na threads pamoja na PM?
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Some members here i love them a lot...
  and some members here i dont like them at all
  very boring and time wasting reading anything they write.........
   
 19. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Natakujibu vizuri sana ukiniambia wewe ni jinsia gani! Tafadhali sasa fanya hivyo.
   
 20. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  "Smile though your heart is aching"...Me says
   
Loading...