Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

Ndoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.

Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!

Hakuna mtu aliye kamilika, na ukijiona umekamilika ujue wewe si mkamilifu kabisa. Tena hufai hata kujisimamia mwenyewe.
 
Uzi Closed!

Nakazia hapo.
Ukijihisi umekamilika ujue umefikia kiwango cha hali ya juu kutokamilika, maana yake hata kuchunga Mbuzi huwezi.

Vijana huwa mnajipa moyo sana kwenye hakuna. Mpaka huwa najiuliza kwanini mmeamua kufurahisha nafsi zenu na kujidanganya kwa wazi zaidi.
 
Hakuna mtu aliye kamilika, na ukijiona umekamilika ujue wewe si mkamilifu kabisa. Tena hufai hata kujisimamia mwenyewe.

100%

Bila shaka ushakutana na perfect people. Utasikia "Yule sio type yangu". Of course watu mpaka wawe na choices na preferences. Hilo la mtu kujua asichotaka na asijue anachotaka ni haiba ya "wakamilifu" -perfectionist-. Hii ni hatari!
 
Utakuwa hujui maana ya ukamilifu, hakuna mkamilifu tangu dunia imeumbwa mpaka inafikia tamati.

Sisi Wanaume tukiwaambia tunaoa ujue tunaenda kumsimamia kiumbe ambaye ni binadamu na ni Mwanamke pia, kiumbe mwenye akili zake, maamuzi yake, sasa ukiweza kumsimamia Mwanamke ujue utaweza kuyasimamia mambo mengine yote kwa uzuri.

Sasa mnapo jifariji juu ya mkamilifu aisee mnajidanganya kweupe, wanao kimbia ndoa bila sababu za msingi hao wana matatizo ya akili.
 
But this doesn't mean you shouldn't have your cliteria for someone unayetaka kupatna naye maisha yenu. Mbali na sifa za kitabia, kuna temperaments. Mm ni miongoni mwa wachache waaminio kwamba any man anaweza kumerge na any lady provided wako sane kiakili na wana basic harmonity katika masuala ya kiimani.
 
Off argument mpaka nimeogopa. Utakuwa hujanisoma vizuri.

Pitia post zangu kwenye huu Uzi, ukimaliza rudi hapa tuendelee kuchangamsha chamvi!
 
100%

Bila shaka ushakutana na perfect people. Utasikia "Yule sio type yangu". Of course watu mpaka wawe na choices na preferences. Hilo la mtu kujua asichotaka na asijue anachotaka ni haiba ya "wakamilifu" -perfectionist-. Hii ni hatari!
Preferences & choices & cliteria ni normal sana. Kuna mtu anaweza kuwa na vigezo vizuri tu lakini bado asiwe type yako. Perfectionist ni asiyetaka kufanya kompromaiz hata kwenye mambo yanayoweza kurekebishika baadaye. We should never forget that everybody is subject to constant improvement. And, I tend to believe, wale wanaojiona wamekamilika kwa kiasi fulani, au to put it more gently, waliostaarabika, wanapaswa ndio wawakwae wale wanaodhani ni less fortunate ili rutuba yao ya ustaarabu iwaimarishe wale.

I almost said UZI TAYARI!!!
 
Preferences & choices & cliteria ni normal sana. Kuna mtu anaweza kuwa na vigezo vizuri tu lakini bado asiwe type yako.
I concur.

Shida ni maji yakizidi unga. I mean vigezo na masharti yakiwa Makali kiasi kwamba kupata sample size inakuwa mtihani! Data utapata wapi ku-compare, contrast na ku-discuss results kabla hujakata shauri wapi utulie?

Unaona eeh!
 
Anatafuta SITARA Bila ya kuwa na mume mwanamke hata hishma yake inapungua na anakuwa haaminiwi na vile vile mwanamme so hawa ni viumbe vinahitajiana na zaidi kuwa na family hiyo ndio nature yetu ,hayo mambo mengine ni matahabash tu ktk maisha la muhimu ni mwanamme aweze kumudu nyumba yake na sio omba omba .
 
I concur.

Shida ni maji yakizidi unga. I mean vigezo na masharti yakiwa Makali kiasi kwamba kupata sample size inakuwa mtihani! Data utapata wapi ku-compare, contrast na ku-discuss results kabla hujakata shauri wapi utulie?

Unaona eeh!
Ukiwa unasaka high quality preferences lazima uwe mvumilivu kidogo, na ndivyo inavyotakiwa. Si unajua hata dhahabu pure haipatikanagi this-this (hivi hivi)!!???
 
Ndoa ni tendo la kiasili kwa baadhi ya wanyama na ndege ingawa wao hawaendi kanisani au misikitini. Njiwa wanaishi kwa couple na wanatengeneza familia. Simba, tembo, dolphins nyani, sokwe na wengine wengi uishi mke na mme na uanzisha familia ambazo watoto wanawajua baba na mama zao.

Tunafunga ndoa ili kuanzia familia na kuiendeleza katika misingi ya Pamoja ili wajifunze maadili na kuwa watu Bora katika Jamie
 
Off argument mpaka nimeogopa. Utakuwa hujanisoma vizuri.

Pitia post zangu kwenye huu Uzi, ukimaliza rudi hapa tuendelee kuchangamsha chamvi!
Sijatoka nje ya nje, na hapo juu niligusia ya kuwa utakuwa hujui maana ya "Ukamilifu/Kamili". Mfano wa Mwanamke nilio utoa ni mfano mahususi ya majibu yako kwetu sisi ambao unaona hatuko kamili huku ukitutenga na wale ambao unao a wakijihi kamili. Kisha ukaelekezea kwa mtu atakae jiona kamili basi afanye biashara nyingine zitamfaa, nikakumbusha ya kuwa sisi tunao enda kuoa tunaenda kumsimamia mtu, mtu ambaye ukiweza kumsimamia basi utaweza kusimamia mambo mengine yote.

Sasa unaposema nipo nje ya hoja bila kuonyesha ni wapi na kwa lipi, hui ni udhaifu wako wa kutokuwa makini.
 
Sidhani kama lugha hiyo ya "kumsimamia mwanamke" iko accurate. Siku mwanaume akijifunza kwamba mwanamke ni kijalizo (complement au supplement) wake, base ndoa zitakuwa zenye upendo na zitakuwa zinadumu hadi pale mauti itakapowatenganisha.
 
Mkuu
Watu wanaojihisi kwamba wao ni perfect. Kwamba wao ni 100/100 wanapata shida sana kuishi kwenye mahusiano hasa ya ndoa!

Watu wanaojiona kwamba wao ni imperfect hawana tabu kuishi kwenye ndoa.

Ninachokuambia sio nadharia. Ni halisi! Ndiposa ni kawaida kusikia wapenzi kwenye penzi jipya "huficha makucha yao" hii makucha yao ni imperfection zao ambazo wanajua wakiziachia watakosa wamtakaye. Ila wakishafunga ndoa hufungua makucha yao.

Hivyo basi, mwanaume ama mwanamke akipata mtu ambaye ataweza kustahimili "makucha yake" hapo ndoa zitadumu. Perfect people cannot tolerate none sense. Imperfect people does!

Kama mpaka nukta hii hujanielewa, basi sina namna nyingine kukusaidia uelewe hoja yangu.

Nikutakie kila la heri.
 
Sidhani kama lugha hiyo ya "kumsimamia mwanamke" iko accurate. Siku mwanaume akijifunza kwamba mwanamke ni kijalizo (complement au supplement) wake, base ndoa zitakuwa zenye upendo na zitakuwa zinadumu hadi pale mauti itakapowatenganisha.
Unaelewa nini naposema kumsimamia ? Kijalizio maana yake ni mtu wa ziada ? Hii lugha chafu na ya kejeli na isiyo na uhalisia, sababu nafasi ya Mwanamke kwetu sisi ni kubwa mno, na sisi ni vazi kwao na wao ni mavazi kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…