siku hizi hata harusi za kiislam zinafanyika kama za kikristo ki mavazi. Wakishamaliza kufungiwa ndoa na sheikh wanaenda kuvaa mashela na masuti kuelekea ukumbini kulishana keki na shamrashamra zingine. Cha ajabu ukumbi mzima huoni ishara wala maneno ya kiislam, ndugu, jamaa, marafiki na waalikwa wengine wamevaa mavazi ya kimagharibi, huoni mavazi ya kiislam ukumbini na wakati harusi ni ya kiislam. miziki inayopigwa nayo ni ya kidunia tu au kidogo ya kikristo ile inayochangamsha waalikwa. Hii inaweza kuwa ni morden islamic dressing code katika harusi zao zenye mbwembwe nyingi